Polepole na wenzake wasingetamani kusikia Rais Samia akigombea 2025, Nawakumbusha Rais Samia yupo hadi 2030

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,914
Reaction score
3,386
Polepole anawakilisha kundi la watu ndani ya CCM ambao hawataki na wasingependa kusikia Rais Samia Suluhu Hassan akifanya vizuri na kuipaisha awamu ya Tano.
Polepole na wenzake wasingependa kuona Rais Samia akigombea kwa awamu nyingine mwaka 2025, wanatamani Rais Samia aishie 2025.
Polepole anawakilisha kundi la watuwenye wivu na awamu ya sita.
Polepole anatoa siri za mipango ya watu wabaya ambao hawana nia nzuri na Rais Samia. Shime watanzania tumuombee Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Polepole anawakilisha kundi lenye hofu ya kuondolewa katika utawala, kundi ambalo kwa muda wote lilikua linatukana wastaafu na watu waliopita kuwa hawana maana yoyote, sasa wamekuwa na hofu ya kulipiziwa kisasi.
Namkumbusha polepole na kundi lao kuwa ukipoteza pambano jipange kwenye pambano lijalo la sivyo utauwawa.
Nawakumbusha kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu ni MH. SAMIA SULUHU HASSAN
 
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kulazimisha jambo?You don't love our president. Nyie ndiyo mnaomchafua. Yaani mmemfanya aonekane ni adui wa polepole wakati siyo kweli. Credibility au kupendwa kwa mama hakutokani na matusi kwa polepole ambaye basically ana matatizo yake. Instead, mama atapendwa kwa utendaji kazi wake. Wananchi wanahitaji kuona maisha yao yanabadilika particularly kwenye bei za vitu ambazo have nothing to do with polepole. Please learn to love our president. Tell her the truth. Pamoja na upuuzi wake wote, wananchi walimpenda sana JPM kwa sababu he touched their lives. Please learn and understand.
 
Na si hayo tu,kundi hili baada ya kifo cha JPM walifanya figisu nyingi hata kutaka kuvunja Katiba ili kuzuia Samia kuwa Rais. Hili ni genge hatari sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Polepole anawakilisha kundi la watu ndani ya CCM ambao hawataki na wasingependa kusikia Rais Samia Suluhu Hassan akifanya vizuri na kuipaisha awamu ya Tano.
Polepole na wenzake wasingependa kuona Rais Samia akigombea kwa awamu nyingine mwaka 2025, wanatamani Rais Samia aishie 2025.
Polepole anawakilisha kundi la watuwenye wivu na awamu ya sita.
Polepole anatoa siri za mipango ya watu wabaya ambao hawana nia nzuri na Rais Samia. Shime watanzania tumuombee Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Polepole anawakilisha kundi lenye hofu ya kuondolewa katika utawala, kundi ambalo kwa muda wote lilikua linatukana wastaafu na watu waliopita kuwa hawana maana yoyote, sasa wamekuwa na hofu ya kulipiziwa kisasi.
Namkumbusha polepole na kundi lao kuwa ukipoteza pambano jipange kwenye pambano lijalo la sivyo utauwawa.
Nawakumbusha kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu ni MH. SAMIA SULUHU HASSAN
Polepole hana msaada kwa Watanzania. Amehudumu katika uovu akawa sehemu ya uovu na waovu.

Hata hivyo, Rais mnafiki, pia hana msaada kwa Watanzania. Unafiki na unyama, Samia anaomfanyia Mbowe, wale makomandoo, na wengine wengi waliopo mahabusu bila makosa, akiishia 2025, Watanzania hatuna cha kupoteza zaidi ya unafiki. It will be much blessing, japo hatujui atakayekuja atakuwaje.

Upopo wa Rais wa sasa hauna msaada kwa Watanzania. Kama unataka haki, simamia haki kwa 100%. Kama ni dhulumati, kuwa dhulumati kwa 100%, tujue tuna kiongozi dhulumati. Si moto si baridi, hatufai, inakuwa ni unafiki na ulaghai.
 
Polepole anawakilisha kundi la watu ndani ya CCM ambao hawataki na wasingependa kusikia Rais Samia Suluhu Hassan akifanya vizuri na kuipaisha awamu ya Tano.
Polepole na wenzake wasingependa kuona Rais Samia akigombea kwa awamu nyingine mwaka 2025, wanatamani Rais Samia aishie 2025.
Polepole anawakilisha kundi la watuwenye wivu na awamu ya sita.
Polepole anatoa siri za mipango ya watu wabaya ambao hawana nia nzuri na Rais Samia. Shime watanzania tumuombee Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Polepole anawakilisha kundi lenye hofu ya kuondolewa katika utawala, kundi ambalo kwa muda wote lilikua linatukana wastaafu na watu waliopita kuwa hawana maana yoyote, sasa wamekuwa na hofu ya kulipiziwa kisasi.
Namkumbusha polepole na kundi lao kuwa ukipoteza pambano jipange kwenye pambano lijalo la sivyo utauwawa.
Nawakumbusha kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu ni MH. SAMIA SULUHU HASSAN
Hivi ni lini au clip hipi ilimuonesha Polepole akimnanga Rais Samia? Mbona mnaamisha agenda kufanya Samia aonekane anatukanwa na Polepole?
 
Nakubaliana na mtoa hoja na ni kweli kwa katiba hii hata maza akitaka atawala miaka 30 mingine anaweza hakuna wa kumzuia - Polepole awe mpole, akiendelea kuwazondoa atadodoshewa kitu kizito kichwani hadi ubongo uombe poo !! Sisi tunaodai katiba mpya ni werevu mno tunamzidi, tushaona mbali.
 
Polepole anawakilisha kundi la watu ndani ya CCM ambao hawataki na wasingependa kusikia Rais Samia Suluhu Hassan akifanya vizuri na kuipaisha awamu ya Tano.
Polepole na wenzake wasingependa kuona Rais Samia akigombea kwa awamu nyingine mwaka 2025, wanatamani Rais Samia aishie 2025.
Polepole anawakilisha kundi la watuwenye wivu na awamu ya sita.
Polepole anatoa siri za mipango ya watu wabaya ambao hawana nia nzuri na Rais Samia. Shime watanzania tumuombee Rais wetu Samia Suluhu Hassan
Polepole anawakilisha kundi lenye hofu ya kuondolewa katika utawala, kundi ambalo kwa muda wote lilikua linatukana wastaafu na watu waliopita kuwa hawana maana yoyote, sasa wamekuwa na hofu ya kulipiziwa kisasi.
Namkumbusha polepole na kundi lao kuwa ukipoteza pambano jipange kwenye pambano lijalo la sivyo utauwawa.
Nawakumbusha kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu ni MH. SAMIA SULUHU HASSAN

Namna Rais wa mchongo anavyopatikana​

746848C2-A5A6-4870-9830-C7B3596557C9.jpeg
 
Mbona unatumia nguvu nyingi sana kulazimisha jambo?You don't love our president. Nyie ndiyo mnaomchafua. Yaani mmemfanya aonekane ni adui wa polepole wakati siyo kweli. Credibility au kupendwa kwa mama hakutokani na matusi kwa polepole ambaye basically ana matatizo yake. Instead, mama atapendwa kwa utendaji kazi wake. Wananchi wanahitaji kuona maisha yao yanabadilika particularly kwenye bei za vitu ambazo have nothing to do with polepole. Please learn to love our president. Tell her the truth. Pamoja na upuuzi wake wote, wananchi walimpenda sana JPM kwa sababu he touched their lives. Please learn and understand.
SAMIA Ni Rais mpaka 2035 inshallah,

Mkileta fyokofyoko tutawatengua viuno wapuuzi nyie
 
Viongozi wote waliotangulia walikosolewa sana tu, hangaya asitafute huruma ya jinsia na uzanzibari kuficha madhaifu ya utendaji wa serikali yake.
 
SAMIA Ni Rais mpaka 2035 inshallah,

Mkileta fyokofyoko tutawatengua viuno wapuuzi nyie
baba yako alitamani amalize 10 afu abadiili katiba iwe awamu ya miaka saba saba ili aanze tena... nini kimempata hata hiyo 10 ikamshinda kumaliza? - msimchulie maza wa watu kijana, tulia fanya yako. Hii nchi ipo kwenye uangalizi wa HEHOVA mwenyewe !!
 
Sawa, kama Binadamu ni Mungu basi atafika hiyo 2030, kwa maana wewe umesema.

Usiweke mategemeo yako kwa Binadamu mwenye nyama na damu, mtegemee Mungu.
 
Wewe ni kilaza mwenye ID ya kimkakati,,nendeni mkamalize ugomvi wenu Lumumba,usitafute support hapa
 
Back
Top Bottom