Polepole na wenzake wasingetamani kusikia Rais Samia akigombea 2025, Nawakumbusha Rais Samia yupo hadi 2030

Kwa hiyo wewe kwa kujipendekeza kwako umeshampa Samia Urais 2025 hata kabla ya kufanyika uchaguzi? Kwa taarifa yako Watanzania walio wengi hawampendi huyo Samia wenu tena kundi hilo lisilompenda huyo mama wengi ni akina mama
 
Nipo hapa mashigo wakikubali na kukuelewa ni tag.
 
mleta Mada Ogopa sana Mtu ambaye siye muongeaji kwenye Chama chenu.
Unamshambulia Polepole kwa sababu umemsikia akizungumza
Kuna watu wapo kimya kwenye Chama lenu lakini wanatamani sana kuwa Rais na wanachukia kinachoendelea sasa hivi na hii Serikali
 
Ndio maana nimewataja si wametuma kipaza Sauti polepole
 
Kwa hiyo wewe kwa kujipendekeza kwako umeshampa Samia Urais 2025 hata kabla ya kufanyika uchaguzi? Kwa taarifa yako Watanzania walio wengi hawampendi huyo Samia wenu tena kundi hilo lisilompenda huyo mama wengi ni akina mama
Atashinda 86%
 
Dikteta alizidisha maovu ndiomaana Mungu alimshika kwa mshiko wa nguvu,

Samia anaongoza kwa Haki
 
Hivi mabeberu hawapo zama hizi ? tulizoea awamu ya tano kusikia 'katumwa na mabeberu'
 
Wanasumbuka bure πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mama anaupiga mwingi, penye uhai na uzima ikija uchafuzi mkuu 2025 mi 10 tena, mpaka 2035. Hii mi4 anamalizia ya Mwenda zake.
Ikiwapendeza tume ya uchafuzi Tanzagiza wampitishe tu mama kwa hiyo miaka 10 , mijihela yetu ya kodi wakwezi, wavuvi, wakulima na wauza utumbo wa kuku na wamachinga wawekeze kwenye maji, mishahara ya walimu na madaktari, umeme na barabara tu.
Albaki 99% wagawane wao na familia zao , watatulipa tu in sha Allah siku ya hesabu aka Kiyama.
 
Nitakuwepo

Roho zinawauma
Utakuwepo!? Sawa wewe uliyeiona kesho. Ila usisahau Alikuwepo jpm aliyetisha mpaka wa chamani mwake, atakuwa huyu ambaye hata mwaka hana tayari kashaanza kelele za 2025! Hajiamini, ni wazi anajua makada ndani ya chama wanautaka huo Urais 2025. Kazi kwake kuwadhibiti. Ila ni wazi hiyo 2025 atafika amechoka sana, endapo atafika lakini.
 
Ili Rais apendwe njia moja kuu ni kutawala kwa haki .Manake asiwabague watu kwa vyama VYAO au dini zao na pia maendeleo ya watu ndo kiwe kipaumbele chake .Nakupa mfano anatakiwa ashushe gharama za maisha kwa mahitaji mhimu ya maisha I mean basic needs.akifanya hivo Kila mtu atampenda nje ya hapo hakuna kitu .Vitu vinapanda Bei na Hali ya maisha ngumu nana atampenda ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe kwa kujipendekeza kwako umeshampa Samia Urais 2025 hata kabla ya kufanyika uchaguzi? Kwa taarifa yako Watanzania walio wengi hawampendi huyo Samia wenu tena kundi hilo lisilompenda huyo mama wengi ni akina mama
Wewe ni mkongwe kabisa hapa jukwaani, naweza kuamini maneno yako based experience.
 
Exactly, na Mimi pia kura yangu nitampa, nimeona MH. RAIS, vile anafanya kazi kwa uzarendo mkubwa...Leo hii kila mkoa, halmashaur, shule, nk miradi inaendelea vizuri hela Znatolewa. GOD BLESS OUR PRESIDENT, HON. SSH. AMENπŸ™πŸΌ
 
Umemaliza uzi ulitakiwa kuiishia hapa
 
Hii tulinusa kabla
Rais Samia amekuja ku prove
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…