Wahuni mnatifuana 😅😅Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache...
Akina Mnyeti, Kajulumuguli et alKuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like.
Hakuna Serikali ambayo iliwahi kuzungukwa na wahuni wengi kama awamu ya 5. Tena wale hawakuwa wahuni bali majambazi, kuanzia mkuu wao aliyekuwa akipora pesa watu kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.
Genge la wahuni laana inawatafuna. Vita ya wahuni kwa wahuni nani mshindi?Taahi.ra mkubwa wewe kamuonye huyo anaekupumlia kisogoni, "wahuni" ni wanaofanya mambo kinyume na the "majority" wanayoyataka, nani kakudanganya watanzania wanafurahishwa na hayo ya Sabaya yanayoendelea? kufinya mijizi ilonyonya watanzania miaka nenda rudi sio uhuni aisee na wala sidhani hata huko jail Sabaya anaumia.
Hujitambui aisee bure kabisa.Ajue tu na yeye miongoni mwa wahuni wanotakiwa wauwawe kabisa
Polepole, Bashiru wahuni tu , madalali wa biashara ya utumwa.Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache...
Hizi bangi zenu msituletee hapa.Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache..
Ni kweli tupu; lakini hiyo isiwe sababu ya kuvumilia hawa wanaoingia sasa, hata kama wao watakuwa 'sophisticated' kidogo katika uumizaji wao wa wananchi. Matokeo ya kazi zao yanaweza kuwa sawa, au hata kuzidi yale ya wahuni wa Magufuli.Kuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like.
Hakuna Serikali ambayo iliwahi kuzungukwa na wahuni wengi kama awamu ya 5. Tena wale hawakuwa wahuni bali majambazi, kuanzia mkuu wao aliyekuwa akipora pesa watu kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.
LOOoo!Mkuu
Afadhali ya huyu anayeponda kwa uhalisia wake…
Kauli hii ni ya kijinga sana. Wewe hujui kuwa kwa kutoa kauli hii unaipaka matope ccm unayojaribu kuitetea? Una maana ccm ni chama cha aina hiyo unayoielepa hapa?Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka. Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.
Hamatan nakusalimu,hao walioporwa fedha unazo sema zao wenyewe ni wezi wasioweza kueleza fedha hizo wamezipataje? Wanalipa Kodi wapi, Magu alikuwa sahihi kwenye hili.Kuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like.
Hakuna Serikali ambayo iliwahi kuzungukwa na wahuni wengi kama awamu ya 5. Tena wale hawakuwa wahuni bali majambazi, kuanzia mkuu wao aliyekuwa akipora pesa watu kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.
Polepole hayupo pekee yake, Mama anachukiwa sana mtaani. Polepole ni kielelezo chetu wananchi wote mpaka wana CCM hatumpendi tunamchukia sana jinsi anavyoendesha nchi, ameirudisha kwa wezi na walafi! So hilo onyo lako ujue unawaonya watanzania ambao Mama lazima atoswe 2025 asipobadilikaUnafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache...
Mkuu hawa Jamaa tuwape muda. Maovu yote yaliyotendeka gizani, watayaleta nuruni wenyewe. Kisha kuwataja wahusika. Yaani Leo hii Kada wa CCM anatoka hadharani na kumuwambia H. Polepole kuwa wakati akiwa Muenezi aliratibu shughuli zote za utekaji na mauaji Kwa wale wote waliopotezwa kwenye awamu ya tano!!Kuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like...
umemuonya kwa vitisho na mbwebwe ukijitanabaisha kuwa enzi za akina polepole ndiyo walizungukwa na wahuni.....mwisho umehastag KAZI IENDELEE...kazi ya nani iendelee, nani walioianzisha?....jibu ni rahisi ni wahuni hao hao. Kwa nini unawatolea povu watu ambao unaendeleza kazi zao?Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.
Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.
Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.
Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka.
Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.
Endelea kudhani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.
#KAZI IENDELEE
Siku zote linalojamba ni tumbo, makalio ni spika tu[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu
Afadhali ya huyu anayeponda kwa uhalisia wake….
Kuliko ninyi mliokuwa mnaponda kwa akaunti feki....
Siku zote linalojamba ni tumbo, makalio ni spika tu….
Asante!
Slowslow kajibrand kijanja sana, yaani kwasasa ukimweka marope, Makato, Na wengineo hakuna wa kumfikia hata nusu robo!Siku zote linalojamba ni tumbo, makalio ni spika tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umewashukia jumla jumla kina manyuzi. Wao waliona ni sahihi kutumia PROFILE ya kigogo kuitusi serikali lakini wao hawataki kukosolewa
Hizo ni mbio za urais 2025 wamemuona slow slow ndiyo kigingi kwao.