Wahuni mnatifuana 😅😅Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache...