Polepole Nakupa Onyo

Polepole Nakupa Onyo

Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache...
Wahuni mnatifuana 😅😅
 
Kuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like.

Hakuna Serikali ambayo iliwahi kuzungukwa na wahuni wengi kama awamu ya 5. Tena wale hawakuwa wahuni bali majambazi, kuanzia mkuu wao aliyekuwa akipora pesa watu kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.
Akina Mnyeti, Kajulumuguli et al
 
Taahi.ra mkubwa wewe kamuonye huyo anaekupumlia kisogoni, "wahuni" ni wanaofanya mambo kinyume na the "majority" wanayoyataka, nani kakudanganya watanzania wanafurahishwa na hayo ya Sabaya yanayoendelea? kufinya mijizi ilonyonya watanzania miaka nenda rudi sio uhuni aisee na wala sidhani hata huko jail Sabaya anaumia.
Genge la wahuni laana inawatafuna. Vita ya wahuni kwa wahuni nani mshindi?
 
Wewe akili yako ni finyu. Badala upambane, kwa hoja zenye mashiko, Unakuja na personal attacks.

Polepole anajenga hoja kuhusu nchi inavyo endeshwa. Wewe una damka na takataka zako za ovyo izo..... hii nchi si yako na chama chako wenyewe ni yetu sote... Hakuna aliye juu ya sheria hata SSH anafahamu ilo kwa upana wake .
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache..
Hizi bangi zenu msituletee hapa.
Wewe unaonya ni mungu?
Bure kabisa.

Hata hivyo usidhani namtetea huyo mwenzio, nyote mnatakiwa kuwa mbali na shughuli za waTanzania.
 
Mtoa mada swali kwako hivi Adui (threat) wa CCM kisiasa ni Polepole au Chadema..

Maana naona baadhi ya akaunti zenye uelekeo wa CCM zinamwandama Polepole as if chadema sio threat tena kwao..
 
Kuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like.

Hakuna Serikali ambayo iliwahi kuzungukwa na wahuni wengi kama awamu ya 5. Tena wale hawakuwa wahuni bali majambazi, kuanzia mkuu wao aliyekuwa akipora pesa watu kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.
Ni kweli tupu; lakini hiyo isiwe sababu ya kuvumilia hawa wanaoingia sasa, hata kama wao watakuwa 'sophisticated' kidogo katika uumizaji wao wa wananchi. Matokeo ya kazi zao yanaweza kuwa sawa, au hata kuzidi yale ya wahuni wa Magufuli.

Hii ndiyo sababu kuna hitaji kubwa sana la Katiba Mpya, kupunguza au kuondoa uwezo wa kila rais anayeingia kuleta kundi lake la wahuni lisilokuwa na mipaka.
 
Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka. Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.
Kauli hii ni ya kijinga sana. Wewe hujui kuwa kwa kutoa kauli hii unaipaka matope ccm unayojaribu kuitetea? Una maana ccm ni chama cha aina hiyo unayoielepa hapa?

Ujinga mwingine ni wa ajabu sana.
 
Kuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like.

Hakuna Serikali ambayo iliwahi kuzungukwa na wahuni wengi kama awamu ya 5. Tena wale hawakuwa wahuni bali majambazi, kuanzia mkuu wao aliyekuwa akipora pesa watu kwa kisingizio cha uhujumu uchumi.
Hamatan nakusalimu,hao walioporwa fedha unazo sema zao wenyewe ni wezi wasioweza kueleza fedha hizo wamezipataje? Wanalipa Kodi wapi, Magu alikuwa sahihi kwenye hili.
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache...
Polepole hayupo pekee yake, Mama anachukiwa sana mtaani. Polepole ni kielelezo chetu wananchi wote mpaka wana CCM hatumpendi tunamchukia sana jinsi anavyoendesha nchi, ameirudisha kwa wezi na walafi! So hilo onyo lako ujue unawaonya watanzania ambao Mama lazima atoswe 2025 asipobadilika
 
Kuna wqhuni waliozidizi wa Mqgufuli? Sabaya, Makonda, Happy, Gambo, Chalamila, wakuu wengi wa wilaya, Mwigulu, and the like...
Mkuu hawa Jamaa tuwape muda. Maovu yote yaliyotendeka gizani, watayaleta nuruni wenyewe. Kisha kuwataja wahusika. Yaani Leo hii Kada wa CCM anatoka hadharani na kumuwambia H. Polepole kuwa wakati akiwa Muenezi aliratibu shughuli zote za utekaji na mauaji Kwa wale wote waliopotezwa kwenye awamu ya tano!!
 
Kuna tatizo kuwa mno naliona ndani ya CCM, sijajua uzito wa kundi hili na kwa nini liogopewa hivi - nafikiri kundi hili linajaribu kuutikisha uwenyekiti wa Samia. Huyu Polepole ni kielelezo cha namna tatizo ni kubwa kuwaita wana CCM wenzake wanaomsaidia maza kuongoza nchi eti WAHUNI.
 
Unafiki kuwa uko na Rais halafu unasema Rais amezungukwa na wahuni. Hatukusikia Sabaya na Makonda ambao ni wahuni haswaaa ukitoa kauli. Unazarau mamlaka ya Rais au nini. unataka kumpangia Rais achague nani na nani amuache.

Unataka kumpangia Rais afanye nini na nini asifanye Tatizi unaona kwa vile ulikua mwenezi basi Samia hawezi kukufanya kitu.

Uhuni wenu wa kuua na kuteka mnataja na sisi tuufanye au sio.

Hivi unaona unayohaki ya kuongea lolote kutoka kichwani kwako. Sasa nakukumbusha CCM na serikali haijashindwa kukunyoosha ukanyooka.

Endelea kufanya ziara za media kuponda kazi zinazifanywa na Rais Samia hakika utapata unacho kitaka.

Endelea kudhani kuwa unao ukubwa ulionao. Nakupa Onyo wewe na wanao kutuma.

#KAZI IENDELEE
umemuonya kwa vitisho na mbwebwe ukijitanabaisha kuwa enzi za akina polepole ndiyo walizungukwa na wahuni.....mwisho umehastag KAZI IENDELEE...kazi ya nani iendelee, nani walioianzisha?....jibu ni rahisi ni wahuni hao hao. Kwa nini unawatolea povu watu ambao unaendeleza kazi zao?
 
Mkuu

Afadhali ya huyu anayeponda kwa uhalisia wake….

Kuliko ninyi mliokuwa mnaponda kwa akaunti feki....

Siku zote linalojamba ni tumbo, makalio ni spika tu….

Asante!
Siku zote linalojamba ni tumbo, makalio ni spika tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umewashukia jumla jumla kina manyuzi. Wao waliona ni sahihi kutumia PROFILE ya kigogo kuitusi serikali lakini wao hawataki kukosolewa
Hizo ni mbio za urais 2025 wamemuona slow slow ndiyo kigingi kwao.
 
mlevi mmoja alisikika akisema ..''uwaziri umewashinda sasa mmeanza vituko''..
 
Siku zote linalojamba ni tumbo, makalio ni spika tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umewashukia jumla jumla kina manyuzi. Wao waliona ni sahihi kutumia PROFILE ya kigogo kuitusi serikali lakini wao hawataki kukosolewa
Hizo ni mbio za urais 2025 wamemuona slow slow ndiyo kigingi kwao.
Slowslow kajibrand kijanja sana, yaani kwasasa ukimweka marope, Makato, Na wengineo hakuna wa kumfikia hata nusu robo!
 
Back
Top Bottom