Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Naamini Lissu ana taarifa zote za yanayoendelea huku nje japo yeye yuko behind bars kwa tuhuma zisizo na kichwa wala migiu zaidi tu ya watu kutumia vibaya madaraka yao.
Hata hivyo, watesi wa Lissu nao kwa sasa wanapita kipindi kigumu japo wanakula na kula pazuri lla ukweli ni kwamba hawana amani ya moyo baada ya Polepole kuendelea kuanika maovu yao hadharani.
As long as adui yako mambo yake yanapohariba ndio furaha yako, nina hakika hata Lissu huko jela anafurahishwa sana na anachofanya Polepole.
Walitaka kufanya kampeni bila tuhuma zao kuanikwa na hadharani na mgombea machachari wa upinzani ila Mungu ameingila kati and it is eve worse now.
Malipo ni hapa hapa duniani.