Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Akijitoa hawataweza kumuanzishia uchunguzi wa uraia, wakitaka?Wanabodi,
Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani
Leo hili jambo, limetokea GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole. Amuondolea hadhi ya Ubalozi
Tangu mwanzo nimemshauri sana
Na sasa namshauri,ajitoe mwenyewe humo alimo,awe huru kutapika nyongo anavyotaka!。
Asipojitoa mwenyewe,sasa hivi atafukuzwa!,tena sio tuu kadi tuu yake ya chama,watachukua,wanaweza kumny'anganya hadi lile Gamba, PPT! na kumuanzishia uchunguzi wa uraia!。
HP,Please do the needful the sooner,the better!。
Paskali。
Wanabodi,
Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole. Amuondolea hadhi ya Ubalozi

Ushauri kwa Balozi Polepole
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- Kati ya Walimzunguka Mfalme na Kumsifu Alivyopendeza na ile Invisible Robe, na yule mtoto aliyemweleza ukweli, kuwa yuko, nani anamsaidia kweli?
- Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?

Yaani slow slow Hadi akili yake imekua slow ,Wanabodi,

Haezi kua level na rostamMkuu Polepole size ya kina Rostam kina nyie si mliambiwa muufyate?
Aliambiwa size yake ni DC Magoti..!Mkuu Polepole size ya kina Rostam kina nyie si mliambiwa muufyate?
Nyie watoto wa y2k mnakera na uandishi wenuHaezi kua level na rostam
Bwana mdogo xnaa ambae Hana impact kubwa Kwa chama Wala taifa
Kachelewa huyo Bwana Mayalla sasa hivi anachozungumza hakina mvuto tena hata akitoka hakutakuwa na impact yoyote.kinachonishangaza ni kwamba polpole hajui hili otherwise intelenjesia yake iko chini sana tu.Wanabodi,
Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole. Amuondolea hadhi ya Ubalozi
Tangu mwanzo nimemshauri sana
Ushauri kwa Balozi Polepole
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- Kati ya Walimzunguka Mfalme na Kumsifu Alivyopendeza na ile Invisible Robe, na yule mtoto aliyemweleza ukweli, kuwa yuko, nani anamsaidia kweli?
- Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
Na sasa namshauri,ajitoe mwenyewe humo alimo,awe huru kutapika nyongo anavyotaka!。
Asipojitoa mwenyewe,sasa hivi atafukuzwa!,tena sio tuu kadi tuu yake ya chama,watachukua,wanaweza kumny'anganya hadi lile Gamba, PPT! na kumuanzishia uchunguzi wa uraia!。
HP,Please do the needful the sooner,the better!。
Paskali。
HP ataongea leo, Je anakwenda kutimiza hili?.Wanabodi,
Tangu mwanzo nimemshauri sana
Ushauri kwa Balozi Polepole
Na sasa namshauri, ajitoe mwenyewe humo alimo, awe huru kutapika nyongo anavyotaka.
Asipojitoa mwenyewe sasa hivi atafukuzwa tena sio tuu kadi yake ya chama watachukua, wanaweza kumny'ang'anya hadi lile Gamba lake (PPT) na kumuanzishia uchunguzi wa uraia.
HP Please do the needful the sooner the better!
Paskali。
Sijui kama Polepole aliusoma ushauri wangu huu kwake, sasa kilichobaki niWanabodi,
Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole. Amuondolea hadhi ya Ubalozi
Tangu mwanzo nimemshauri sana
Ushauri kwa Balozi Polepole
Na sasa namshauri, ajitoe mwenyewe humo CCM alimo, atafute mahala salama, sio nchi za ngozi nyeusi, ndipo awe huru kutapika nyongo anavyotaka.
- GE2025 - Ushauri wa Bure kwa Balozi Polepole, Usitatizwe na Wahuni!, Rais wa TZ 2025 Hawekwi na Wahuni, CCM au Watanzania, Anawekwa na YEYE Pekee!. Jinyamazie!
- Ushauri Balozi HP: Ukiongoka, Kujitenga na Uovu na Kusema Ukweli, Sema Ukweli Wote Sio Ukweli Nusu Nusu!. Jitenge Jumla Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!
- GE2025 - Alichokifanya Polepole, Kumbe Sio yeye!, Ni Ule Mwanga!, Sasa Anatakiwa Kusimama Pembeni Mazima na Sio Mguu Ndani, Mguu Nje!. YEYE ATATENDA!.
- Kati ya Walimzunguka Mfalme na Kumsifu Alivyopendeza na ile Invisible Robe, na yule mtoto aliyemweleza ukweli, kuwa yuko, nani anamsaidia kweli?
- Polepole: Shujaa, Mzalendo wa Kweli Kama Nyerere, Kang'atuka Kama Nyerere!, Amesema Ukweli Nusu!, Je Atoe Mguu Nje Aseme Ukweli Wote, Apewe Maua Yake?
Asipojitoa mwenyewe sasa hivi bado mapema, atafukuzwa CCM kwa kuvuliwa uanachama, tena sio tuu wataichukua kadi yake tuu ya chama, ili kumkomoa wanaweza kumny'ang'anya hadi lile Gamba lake, (passport) na kumuanzishia uchunguzi wa uraia!.
HP Please do the needful the sooner the better!
Paskali。
Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.
Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu
Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.
Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.
Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"
Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.
Paskali
Wanabodi,
Jana nilipandisha bandiko hili humu jukwaani Polepole, Ubalozi kwaheri. Huwezi kukata tawi la mti uliokalia. Shuka kwanza chini, simama kwa pembeni ndipo upige hilo shoka moja Mbuyu chini
Leo hilo jambo, limetokea kweli GE2025 - Rais Samia atengua uteuzi wa Humphrey Polepole. Amuondolea hadhi ya Ubalozi
Hii maana yake sasa unapangiwa mikakati ya kushughulikiwa kikamilifu. Unachotakiwa kufanya ni kujitoa rasmi CCM, ndipo uendeleze mapambano ukiwa nje ya CCM tena mahala salama!.
Kwa msio ijua serikali, serikalini kuna watumishi wa aina mbili, kuna watumishi wa kawaida wa serikali, hawa wanaweza kuacha kazi wakati wowote na maisha yakaendelea, na kuna watumishi wa serikali, wale wa kazi mbili mbili, hawa hawawezi kuacha kazi wakabaki salama, wale jamaa wa ile kazi ya pili lazima watakutafuta na kumalizana nao.
Na sasa namshauri, ajitoe mwenyewe humo CCM alimo, atafute mahala salama, sio nchi za ngozi nyeusi, ndipo awe huru kutapika nyongo anavyotaka.
Asipojitoa mwenyewe sasa hivi bado mapema, atafukuzwa CCM kwa kuvuliwa uanachama, tena sio tuu wataichukua kadi yake tuu ya chama, ili kumkomoa wanaweza kumny'ang'anya hadi lile Gamba lake, (passport) na kumuanzishia uchunguzi wa uraia!.
HP Please do the needful the sooner the better!
Paskali。
Polepole yupo pale alipohifadhiwa, ila sisi watu wa ushauri tulimshauri kabla!.Yuko wapi Polepole?
Alijua yanayoweza kumfika. Kujitoa CCM ulikuwa ushauri wa ovyo ambao usingemsaidia yeye wala Taifa.Polepole yupo pale alipohidhiwa, ila sisi watu wa ushauri tulimshauri kabla!.
P