Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
- #21
Ushauri wangu ni ushauri wa kumshauri awe kunguru, lakini huyu ni shujaa kama simba!, aliamua kusimama na ukweli, na kuhesabiwa, maua yake atayakuta tumemtangulizia, huku watesi wake cha moto wanakipata.Alijua yanayoweza kumfika. Kujitoa CCM ulikuwa ushauri wa ovyo ambao usingemsaidia yeye wala Taifa.
P