Pascal Mayalla Platinum Member Joined Sep 22, 2008 Posts 59,804 Reaction score 134,593 Apr 24, 2026 Thread starter #21 MTAZAMO said: Alijua yanayoweza kumfika. Kujitoa CCM ulikuwa ushauri wa ovyo ambao usingemsaidia yeye wala Taifa. Click to expand... Ushauri wangu ni ushauri wa kumshauri awe kunguru, lakini huyu ni shujaa kama simba!, aliamua kusimama na ukweli, na kuhesabiwa, maua yake atayakuta tumemtangulizia, huku watesi wake cha moto wanakipata. P
MTAZAMO said: Alijua yanayoweza kumfika. Kujitoa CCM ulikuwa ushauri wa ovyo ambao usingemsaidia yeye wala Taifa. Click to expand... Ushauri wangu ni ushauri wa kumshauri awe kunguru, lakini huyu ni shujaa kama simba!, aliamua kusimama na ukweli, na kuhesabiwa, maua yake atayakuta tumemtangulizia, huku watesi wake cha moto wanakipata. P
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Apr 24, 2026 #22 Yagangwe yajayo... Cc: Mahondaw