Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Rostam ni Mfaniki tu ,anampamba Mama samia ili aendelee kupiga pesa na ufisadi wake wa miradi ya kitapeli.Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo levelHuyu ndiye mwenye DP world kwa msiofahamu. Na ndiye mtekaji mkuu.
Mwamba kaibuka 😂😂😂😂...si mchezo Hadi kumuibua mwamba mwenye ten pasenti ya hii nchi sio mchezo 😂😂😂 ashukuriwe Baba wa Mbinguni..😁😁Kweli Polepole kawashika pabaya, hadi Rostam katoka pangoni ku comment kuhusu Polepole!??.., no wonder akisema kesho anaongea wanajiandaa kuzima mitandao, ajabu ni kuwa hawana uhakika wazime mtandao upi,. Ambacho nina uhakika nacho baada ya hawa jamaa ku panic ni kwamba wanajua kuwa ana taarifa nyingi sana, tena taarifa nyeti. Kuna uwezekano mtu asiyetegemewa akaja kudondosha mbuyu.
Huyu ndiye "mpiga copy" serekali aka mhuni mkuu, aka "the king maker"!!!??Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Nimeanza kuhisi usalama wamechoka na yanayoendelea na Polepole yupo na backup isiyo ya kawaida. CCM na serikali vipo kwenye panic mode, ila kwa sisi watazamaji wa jicho la tatu, tunafurahia maana yaweza kuwa the beginning of the END.Mwamba kaibuka 😂😂😂😂...si mchezo Hadi kumuibua mwamba mwenye ten pasenti ya hii nchi sio mchezo 😂😂😂 ashukuriwe Baba wa Mbinguni..😁😁
Hao wasiokuwa na nasaba ndio wana ujasiri wa kusema na kutenda ambao wenye nasaba wanashindwa kufanya.DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Labda jazba.Sauti yake haiko sawa - ana shida gani huyu mzee? Anaumwa?
Nimeona sauti yake haitoki vizuri, labda jazbaLabda jazba.
AminaaaaaNimeanza kuhisi usalama wamechoka na yanayoendelea na Polepole yupo na backup isiyo ya kawaida. CCM na serikali vipo kwenye panic mode, ila kwa sisi watazamaji wa jicho la tatu, tunafurahia maana yaweza kuwa the beginning of the END.
Hivi Tanzania inakuwaje huyu Agent wa CIA Tanzania kukaribishwa hadi chumbani?Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303