GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Bado ajaelewa hata pale Polepole aliposema ndani ya CCM kuna watu wanaitwa ‘washika chama’ wengi wao hawajulikani na hawajawai kuwa na nafasi ndani ya chama. Lakini ndio sikio la mwenyekiti wa chama.

CCM ni lidubwasha likubwa usikurupuke tu. We kama mtoto wa maskini usimjibu Polepole ukishakuwa ‘earmarked’ upo radhi kutetea mafisadi; sahau kushika uongozi Tanzania.

Kuna aina mbili ya viongozi wa CCM kwa wale ambao wanajulikana publicly. Kundi la kwanza ni wale ambao in their 20’s uchukuliwa kutengenezwa na washika chama siku moja kuja kuwa viongozi wa taifa hawa ndio wanakijua chama vizuri, upanda daraja ghafla na haraka na waoga sana kuropoka.

Halafu kuna wale almaarufu ambao wanaingia kwenye uongozi kwa sababu ya hela, au wametokea UVCCM. Hawa kwao CCM ni ile wanayoiona hadharani tu hawajui extension yake behind the veil ndio watu kama Rostam.
 
Wenye kufaidika na nchi kwa sasa! Huyu siku hizi ni anakiherehere balaa. Samia ametuweza sana Watanzania kwa kuwakabidhi nchi wahuni. Kurudi kwenye misingi ya utawala bora itakuwa ngumu sana sana.
 
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.

Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.

Una maoni gani kwa Rostam Aziz?

View attachment 3430303
 
Alivamia ni kauli isiyoeleweka na inaonesha jinsi usivyofahamu taratibu za Chama kupata viongozi wa ngazi ya polepole aliyokuwa nayo
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
wasije kusema wewe ni kati ya hao watano waliobaki
 
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.

Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.

Una maoni gani kwa Rostam Aziz?

View attachment 3430303
Hadi WAHUNI wote watajitokeza
 
Rostam alisema mahakama ya kisutu haiwezi kutoa haki kwasababu mkubwa yeyote wa Serikali anapiga Simu moja tu na haki hupati,ndiyo maana wawekezaji wanaokuja ni wachina wasio na hela,..... kwahiyo saizi kwake mambo safi Tz saizi siyo?
 
Hatimaye wana Mtandao waanza kutajana
 
Rostam alisema mahakama ya kisutu haiwezi kutoa haki kwasababu mkubwa yeyote wa Serikali anapiga Simu moja tu na haki hupati,ndiyo maana wawekezaji wanaokuja ni wachina wasio na hela,..... kwahiyo saizi kwake mambo safi Tz saizi siyo?
😆😆😆😆
 
Hii imenikumbusha vitu viwili:-

1. Chukua kijiti cha mti kisha kichokonolee mzinga wa asali ambao una asali na nyuki walikuwa wameanza kuila asali yao, kumbuka nyuki huzalisha na kutumia asali yao, fanya hilo jaribio kisha leta majibu.

2. Kundi la Simba pale Serengeti lina njaa na limemkamata swala linapoza njaa, sogea karibu yao okota jiwe na kutupa kati kati yao, fanya jaribio hili kisha tuletee majibu.

😁😁 sasa hayo majaribio ndio anayafanya ndugu slower slower.
 
Back
Top Bottom