GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kustaafu ndio ila sikufanya kazi ya serikali mimi,nimefanya kazi na international ngo miaka yangu yote lofa wewe,na baadae nimefanya kazi ya kufundisha vyuo vikuu nchini kenya,sasa nipo home nikisimamia maua na bustani,na kufurahia maisha,sihangaiki kama wrwe ambae hata kunya kwenyewe kwa taabu lofa mkubwa we
Huko chuoni ulikuwa Mhadhiri wa kufirana ?
 
Ponjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.

Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake!
Iran huyo ndo asili yake
 
Kweli Polepole kawashika pabaya, hadi Rostam katoka pangoni ku comment kuhusu Polepole!??.., no wonder akisema kesho anaongea wanajiandaa kuzima mitandao, ajabu ni kuwa hawana uhakika wazime mtandao upi,. Ambacho nina uhakika nacho baada ya hawa jamaa ku panic ni kwamba wanajua kuwa ana taarifa nyingi sana, tena taarifa nyeti. Kuna uwezekano mtu asiyetegemewa akaja kudondosha mbuyu.
Sure, Kuna kitu fulani wanajua anajua ko wanahisi atakisema ndio maana wanazima mitandao 🚶🚶
 
Sure, Kuna kitu fulani wanajua anajua ko wanahisi atakisema ndio maana wanazima mitandao 🚶🚶
Kwa cheo alichofikia polepole pale ccm mambo mengi ya ndani ya ccm anayajua,nahisi mpaka waliomuuwa jpm anawafahamu,wana mtandao aka wahuni
 
Back
Top Bottom