KIMA JEURI JEUSI
Member
- Sep 13, 2024
- 52
- 45
Slowslow mjibu huyu mhuni na mwanamtandao, usiache kujibu kauli zotezote wa wahuni.
Ponjoro ni nini?Ponjoro haimaanishi umaskini.
Kizungu chake ni half castPonjoro ni nini?
Kwamba dangote alikuja kipindi cha chuma siyo!!Wewe pengine hujui hizo mambo zinaenda vipi mpaka mtu anapata hio entrance, Dangote alikuja kipindi cha Chuma ambapo tayari investors wengi walikuwa na room ya kumuona direct Mkuu wa nchi, mana Uwekazaji wao ulikuwa analysed na Regulatory kabla ya approval, Je ulisikia kelele za entrance kwa wananchi kwa Dangote kama ilivo kwa DP word na Investors wa ngorongoro?
Wewe unajua maana ya neno nasaba? Kwa hiyo ni kweli Rostam ana nasaba na ccm? Ujinga utawaisha lini watanzania!! Kisa tu hela zake ? Hoja alizotoa Polepole wapi usipoelewa? Hata wakati wa muasisi wa ccm mwenyewe, Nyerere pamoja na kuaminika kote bado kuna watu walijaribu kuchukua fomu kumchallenge kwenye mchakato wa ndani.Yaani kama kura ikiitishwa sasa hv huko CDM nani awe Chairman, Slowslow anashinda Asubh tu
Hawa ndio wahuni anao zungumzia PolepoleAliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Dangote ameanza operations mwishoni wa mwaka 2015, Chuma akiwa tayari ndaniKwamba dangote alikuja kipindi cha chuma siyo!!
Alikuja lini?Dangote ameanza operations mwishoni wa mwaka 2015, Chuma akiwa tayari ndani
Hujaelewa. Nilichosema hapa ni kwamba leo hii kwa mlivyo CDM mko tayr kwenda na Slowslow kuliko LissuWewe unajua maana ya neno nasaba? Kwa hiyo ni kweli Rostam ana nasaba na ccm? Ujinga utawaisha lini watanzania!! Kisa tu hela zake ? Hoja alizotoa Polepole wapi usipoelewa? Hata wakati wa muasisi wa ccm mwenyewe, Nyerere pamoja na kuaminika kote bado kuna watu walijaribu kuchukua fomu kumchallenge kwenye mchakato wa ndani.
Hii timu ya mtandao hakuna ilichokuja nacho zaidi ya rushwa na nepotism.
Mnafahamu vizuri kwenye kamati kuu na NEC hakuna vilaza wa kuburuza kirahisi.
Mmetegea mkutano mkuu uliojaa vilaza na njaa Kali mkapitisha virushwa vyenu na kuibua ajenda mlioiandaa kwa maslahi yenu mkijua mna advantage ya watu wengi wasioweza kuhoji, kwa hiyo haitapata upinzani,wao mradi uwape hela na chakula basi,ungeweza kuwaambia tuuze hata mlima Kilimanjaro wangekubali tu.
Wewe jamaa ni matako kweli na huna akili hata kidogo.Jibu swali acha blah blah
Ushawai kutumia bandar kabla na baada ya Dp ?
Mkataba uuone WW kama nani? We ni mwananchi kazi yako ni kupiga kura na kufanya kazi bhc mengine aachia serikal ifanye kazi .
Kwa hiyo wewe ambao unaupigia debe na kusema una manufaa kwa taifa umeshaona?SASA WEWE AMBAE UNAUPINGA UMEUONA HUO MKATABA??
UNASEMA HUJAONA MANUFAA YAKE,UKITAKA MANUFAA GANI,UWEKEWE PESA MFUKONI MWAKO AU PADS ZA KILA MWISHO WA MWEZI SIKU ZAKO ZINAPOFIKA??
UKITAKAJE TUELEZE
Polepole hajakosea, ni mmoja tu ndio kaondoka. Walikua watano: jk, rostam, makamba, kinana na lowassaNafikiri hawafahamu vizuri. Ni kweli wawili ndio wametangulia. Edo na mzee wa mipango na mikakati mizito
Polepole hajakosea, ni mmoja tu ndio kaondoka. Walikua watano: jk, rostam, makamba, kinana na lowassa
kazungumZia watu watano ambao ndio hao, aliyetangulia ni Lowassa tu.Kuna mmoja ametangulia mbele ya haki nafikiri humfahamu na ndio alikuwa mchora ramani wa hiyo team kuelekea Ikulu. Hao peke yao wasingeweza. Humu amezungumzwa kwa miaka mingi tangu enzi za Jk wa pili
Wewe Rostam Jambazi wa mtandao wa JK we are coming for you soon Wait!!Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
ApMkazungumZia watu watano ambao ndio hao, aliyetangulia ni Lowassa tu.
Huyo unayemsema ni yupi? Mtaje jina au hata initials
Hapo naweza kukubali
SA.Hela za serikali kupitia chamaAlileta voda kutoka wapi?..hisa alipewa au alinunua?