GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rostam yuko sahihi.
Ni kweli kabisa halo halina ubishi, Polepole hana historia ktk chama bali alidandia treni njiani.
Japo mimi ni cdm ila kwenye hili pia namimi naunga mkono. Pole pole ni wa juu juu tu hapo ccm , wengi wamemjulia kwenye tume ya maoni ya katiba
 
Rostam yupo sahihi. Cha kufurahisha watetezi wa Polepole ni wafuasi wa Chadema wamemsahu kabisa Lissu😂
Rostam hayuko sahihi. Mbona JPM hakuwahi kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kabla ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM? JPM angekuwa bado hai kweli Rostam leo angekuja na hoja hiyo? Mwanamtandao kashikwa na kiwewe,ajibu hoja za Polepole aache uswahili.
 
Samahan mkuu shughuli za bandar kabla ya Dp na baada ya Dp umefanya?
Mkuu acha siasa za kitoto jambo kama limefanyika na kuleta matokea mazur ukisifia c ujinga wala uchawa.
Nyie ndio hata mfanyiwe jema lipi shukran hamna mnataka mabaya tu myasikie Kila cku
Binafsi huwa siendeshwi na data za kupikwa na majizi yaliyomo serikalini, huwa ninaridhishwa na mambo ninayoyaona kwa macho, mpaka sasa hivi hakuna mabadiliko ya maana yaliyoletwa na huo mkataba wa Kimangungo wa DP world...

Kwanza kuna usiri wa hali ya juu kuhusu mkataba wenyewe, labda nikuulize wewe huo mkataba uliouona na ukausoma na ukaona benefits zitakazoingia kwenye serikali ya tanganyika??

Yaani umekaza pumbu hapa eti unaitetea DP world na wakati wanufaika ni hao akina Rostam?

Nyie wala makombo ya mafisadi mna matatizo sana..
 
Pia Polepole ajatoka ccm ...alitoka chadema baada ya kuona ccm imepata Rais mzalendo na chadema inachukua makanyanga ya kifisadi kutoka ccm ...hivyo kujiunga na mzalendo JPM KULIPAMBANIA TAIFA SIYO DINI WALA UFISADI kama wafanyavyo waislamu...maana waislamu wakipata nafasi za uongozi wao upigania ufisadi na udini tu
Swadakta kabisa comment imeshiba ukweli mtupu hii..!!

Ni jambo ambalo liko wazi tukipataga raisi mvaa kobazi au mvaa maushingi mafisadi wanakuwaga na nguvu sana kiasi cha kuiweka serikali mfukoni.

Na hao mafisadi huwa wanatengeneza mtandao mkubwa sana na wanakuwa na watetezi kibao maana wanajua kula na kurusha makombo kwa machawa.
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Haaa wapi ,Ukiona Rostam amekoment ujue jiwe limempata .Ni kati ya wale wahuni 5 .Wakati wa DP world Rostam was DALALI if you do not know
 
Binafsi huwa siendeshwi na data za kupikwa na majizi yaliyomo serikalini, huwa ninaridhishwa na mambo ninayoyaona kwa macho, mpaka sasa hivi hakuna mabadiliko ya maana yaliyoletwa na huo mkataba wa Kimangungo wa DP world...

Kwanza kuna usiri wa hali ya juu kuhusu mkataba wenyewe, labda nikuulize wewe huo mkataba uliouona na ukausoma na ukaona benefits zitakazoingia kwenye serikali ya tanganyika??

Yaani umekaza pumbu hapa eti unaitetea DP world na wakati wanufaika ni hao akina Rostam?

Nyie wala makombo ya mafisadi mna matatizo sana..
SASA WEWE AMBAE UNAUPINGA UMEUONA HUO MKATABA??

UNASEMA HUJAONA MANUFAA YAKE,UKITAKA MANUFAA GANI,UWEKEWE PESA MFUKONI MWAKO AU PADS ZA KILA MWISHO WA MWEZI SIKU ZAKO ZINAPOFIKA??

UKITAKAJE TUELEZE
 
Haaa wapi ,Ukiona Rostam amekoment ujue jiwe limempata .Ni kati ya wale wahuni 5 .Wakati wa DP world Rostam was DALALI if you do not know
ANGALIA KITU ALICHOZUNGUMZA,KINA UKWELI KUHUSU HUYO NGUCHIRO POLE POLE AU HAKINA UKWELI??

POLE POLE HAJAWAHI KUWA CCM UNTIL JIWE ALIPOMSOGEZA YEYE NA BASHIRU KWA UBABE WAKE,SASA HIZO MILA NA DESTURI ZA CCM ANAZIJULIA WAPI,INFACT HATA ALIPOKAWA MWENEZI ALIKUWA NI KAMA MKONO WA CHUMA WA JIWE KATIKA KUUMIZA WATU NDANI YA CHAMA NA WAPINZANI,SASA HUO UHALALI WA KUZUNGUMZA NA NYINYI MKAWA MNASHANGILIA ANAUTOA WAPI?
 
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.

Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.

Una maoni gani kwa Rostam Aziz?

View attachment 3430303
Mwamba anatamba na kuendelea kujipigia hela.Huyu jamaa amatajirika ila baada ya kuingia kwenye siasa.
 
Rostam hayuko sahihi. Mbona JPM hakuwahi kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi kabla ya kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa CCM? JPM angekuwa bado hai kweli Rostam leo angekuja na hoja hiyo? Mwanamtandao kashikwa na kiwewe,ajibu hoja za Polepole aache uswahili.
Unaongea nini wewe Magufuli, alikuwa mbunge zaidi ya miaka 20 wa kuchaguliwa na wananchi kupitia CCM huu mfano wako hata haufanani.
 
Rostam yuko sahihi.
Ni kweli kabisa halo halina ubishi, Polepole hana historia ktk chama bali alidandia treni njiani.
Then nyie mkakaa kimya!..dhambi ya unafiki...code ya chatu kurudi kinyumenyume then kutoka tena..
 
Hahahahaha RA yamemchoma!!Sasa bado nani kama Boss wa wote ametoka pangoni
Slow Slow si mchezo...Kuna sehemu nyeti zimeguswa mpaka wamepiga kelele, sasa naanza kumwamini Slow slow, endelea kandamiza hapo hapo...Tuzidishe maombi, wokovu wa Bwana Yesu u mlangoni!
 
Nilichogundua ndani ya ccm awajuani vizuri, muhajemi anamjua Polepole ni ccm aliyezuka tu ila kama amemsikiliza episode 3 ya Polepole angemjua vizur
Amejua ndiyo sababu ametoka hadharani Kwa uwoga kupiga mayowe, maana kama angekuwa siyo factor angenyamaza kimya...Amejua si kawaida tena!
 
Back
Top Bottom