ni kweli kabisa HP hana nasaba na CCM.kwa sababau anachokikemea HP ndo CCM wanapendaDP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
ni kweli kabisa HP hana nasaba na CCM.kwa sababau anachokikemea HP ndo CCM wanapendaDP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Polepole ni mzalendo ndiyo maana anachukiwa na ccm ya samia ...ukiona wanasiasa wasio wazalendo wanakupenda tambua kuwa wewe siyo mzalendo ..ni lazima wazalendo watakuwa ni kundi la wanao chukiwa japo siyo wote ...Polepole uwezi kumlinganisha na lowasa wala lissu maana lisu naye alijichafua na chadema kwa ujumla kwa kumchukia mzalendo JPMAkili gani hizi?
Leo hii pole pole ni mzalendo
Hata lowasa alivoingia chadema alikua mzalendo 🤣🤣
SS wanahangaika nn mpk kushut down ntwk km Hana nasaba na ccm?DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Ngoja Tusubiri tuone KARMA ITAFANYAJE !😳!Lile kundi lote la wahuni litaibuka...😁😂😂😂 Kete zinasukumwa kitaalam sana.
MUNGU wa MBINGUNI anatenda maajabu ...😀🍺
Kipindi cha jk mbona mambo yao yakienda bila kutekana?Huyu ndiye mwenye DP world kwa msiofahamu. Na ndiye mtekaji mkuu.
Hapa ni waaapi ! Hapa ni waaaapi ?!Hapa ni wapiii Hapa ni waaapi na huyu mjomba ni Nani? 😂
Roastam Aziz aende Uganda ajifunze kilichowapata wahindi na waarabu wenzake mara tu baada ya Field Marshal Idd Amin Dada kuchukua nchi, alifagilia wahindi na waarabu wote nje kwa kuwapa masaa 24 wawe wameondoka nchini na hadi leo hakuna ujinga wa wageni kama Rostam Aziz kungia kwenye siasa ukiachilia mbali hata biashara za kawaida za maduka ambazo waliachiwa waganda wenyewe. Sikuwahi kumsupport Amin, ila kwa hili la kufukizia wageni mbali alifanya kitendo cha Kizalendo mpaka leo waganda wanamkumbuka kwa hili. Hakuna mtu mbaya asilimia 100, na yeye angalau kwa uamuzi wake huo alikuwa mzalendo wa kweli. Siyo huku Tanganyika wageni kama RH anatoka kwao Yemen, in 3 years tayari ndiye anavamia chama na kuwa na nafasi . Udhaifu na Ulafi wa viongozi waliotangulia .Huyu muIran, yeye historia kubwa aliyonayo ndani ya CCM, ni ufisadi uliopindukia. Hana jema lolote kwa nchi hii, zaidi ya kuitafuna. Arudi kwao, kwa Ayatollah. Huyu ndiyo alifanya ule uharamia wa meli za Iran kutumia bendera ya nchi yetu ili kukwepa vikwazo vya kiuchumi.
Sahizi ndiye amekuwa kuwadi wa waarabu katika kupora rasilimali za Tanganyika.
Uzalendo wake umeanzia akiwa ccm au akiwa katoka ndan ya ccmPolepole ni mzalendo ndiyo maana anachukiwa na ccm ya samia ...ukiona wanasiasa wasio wazalendo wanakupenda tambua kuwa wewe siyo mzalendo ..ni lazima wazalendo watakuwa ni kundi la wanao chukiwa japo siyo wote ...Polepole uwezi kumlinganisha na lowasa wala lissu maana lisu naye alijichafua na chadema kwa ujumla kwa kumchukia mzalendo JPM
Mwarabu hajawahi kuwa na uchungu na nchi hii, so let the true sons of Tanganyika speak for our mother country . RH you have neither a moral authority nor the political rights to attack HPP.Azizi wewe una usafi gani kumkosoa polepole au tufukue makaburi ya KAGODA.
Zingatia Uhuru wake unaotambuliwa Kikatiba.Hakuna hoja mpya. Ni hisia zake tu. He is entitled to his opinion.
Anatumia uhuru wake wa maoni unaotambuliwa kikatiba
Uharamia huo ulianzia kipindi hicho mpaka na wazee wakadhalilishwa akiwemo na Warioba kuburuzwa kutoka ukumbini mpaka nje ! 😳!Kipindi cha jk mbona mambo yao yakienda bila kutekana?
swali la kitoto sana hilo...Unajua maana ya nasaba?
Mbona swali lako hata mtoto wa chekechea anakujibu ..polepole asinge kuwa mzalendo hadi leo angekuwa na cheo chake kile kile ndani ya ccm ....Genge la Rostam azizi linamchukia kwa mengi ...huyo alifanikisha Rostam azizi kurudisha TV na Redio alizo kwapua na kuzifanya zake ...kurudisha mradi wa brt uliokuwa umepokwa na familia ya kikwete kutoka UDA na mengi sana ndiyo maana wanao mchukia Polepole wote ni wale wasio wazalendo na wajinga wasio jua maana ya uzalendoUzalendo wake umeanzia akiwa ccm au akiwa katoka ndan ya ccm
Ewaaah !Who cares hata kama ni Shetani ?
Kwahio Shetani akisema ukweli na Malaika akasema uongo tutakubaliana na Malaika ?; In short hatupaswi kufuata mtu au kusikiliza kila anachosema inapaswa tunalosikia tuchanganye na za kwetu na as things are going ni kweli WAHUNI ni wengi sana, na kila anayefukiza Moshi Wahuni watoke inapaswa tukubaliane na anachosema (which does not necessarily mean kukubaliana na Yeye)
Pia Polepole ajatoka ccm ...alitoka chadema baada ya kuona ccm imepata Rais mzalendo na chadema inachukua makanyanga ya kifisadi kutoka ccm ...hivyo kujiunga na mzalendo JPM KULIPAMBANIA TAIFA SIYO DINI WALA UFISADI kama wafanyavyo waislamu...maana waislamu wakipata nafasi za uongozi wao upigania ufisadi na udini tuUzalendo wake umeanzia akiwa ccm au akiwa katoka ndan ya ccm
We utakuwa beki tatu wa RA sio bure unamtetea sanaThibitisha udalali wake kama huna tabia za kishangingi kuzua mambo