Slowslow sasa hivi ndio turufu ya CHADEMAPolepole ni kama popo vile. Kwanza uso hajulikani ni kijana au mzee. Pili afya yake yaonekana mgogoro. Tatu haijulikani kama ana familia au ni msela tu. Nako CCM aliletwa na Magufuli baada ya ya kushiriki bunge la Katiba.
Na wakati wa Magufuli ndiyo tuliona uvunjaji wa Katiba wa hali ya juu na kukandamiza demokrasia na uhuru wa maoni. Na kipindi hicho hakuthubutu kusema lolote kwa vile alikuwa kwenye top cream ya wanaoamua na kupanga hatma ya Tz
Huyu mtu hana lolote la kumchukulia serious
Ikiwa hata tajiri mkubwa kama huyu anaitwa Ponjoro, basi mi sielewi Ponjoro ni kitu gani hasaPonjoro wa Igunga huyu ni bora akae kimya tu.
Huyu mwnaa mtandao kwenye episode ya nne atachafuka ajiandae kisaikojiaAliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Kumbe Polepole ni stowaway yaani kama wadandia meli haramu.Ni kwanini wana CCM hawakuhoji Polepole alipopewa ukatibu wenezi ndani ya CCM, nafasi ambayo inamruhusu mtu aliyeishika kuwa na taarifa nyingi za siri ndani ya chama. Walikuwa wapi vijana walio waandaa kushika nafasi za uwongozi?
Kwani ponjoro aliletwa na nani? Alipewa kazi na mweka hazina na nani? Salome Mbatia ameishia wapi?Polepole ni kama popo vile. Kwanza uso hajulikani ni kijana au mzee. Pili afya yake yaonekana mgogoro. Tatu haijulikani kama ana familia au ni msela tu. Nako CCM aliletwa na Magufuli baada ya ya kushiriki bunge la Katiba.
Na wakati wa Magufuli ndiyo tuliona uvunjaji wa Katiba wa hali ya juu na kukandamiza demokrasia na uhuru wa maoni. Na kipindi hicho hakuthubutu kusema lolote kwa vile alikuwa kwenye top cream ya wanaoamua na kupanga hatma ya Tz
Huyu mtu hana lolote la kumchukulia serious
Mradi wa chupi na condom za mama kwa watoto wa shule za msingi.Mradi upi SSH kauanzisha?
Huyo mmoja jirani ya Rostam karibu na bahari Edo alipohama chama na yeye alienda naye akiwa mtu wa mikakati ya chini ya kapeti. Edo ilibaki asilimia ndogo sana kuiangusha CCM.Tena na mimi nimesahau Bwana waliotangulia ni manguli watatu.
Membe, El na Six, halafu kuna wale wengine ambao hawakuwa maarufu kama yule masai mwingine wa juzi kati hapa.
Watu wanavyosikia Mtandao wanafikiri ni kakundi ka watu wawili watatu it's a mob.
Kuna mpaka mke wa mstaafu wa marehemu naye ni member wa La Cosa nostra ilihali mumewe hakuwa na alikuwa against nao.
ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan
Rostam siyo mtanzaniaRostam yuko sahihi.
Ni kweli kabisa halo halina ubishi, Polepole hana historia ktk chama bali alidandia treni njiani.
KIKWETE ANAKUAMBIA HUYO MUHUNI NA MUHALIFU NDIYO MZALENDO NO 1 ....KAMA KIFO CHA AJALI YA GARI CHA MTIKILA KINGECHUNGUZWA VIZURI HUYU MTU NA GENGE LAKE LA MAPONJORI WANGEKUWA WATUHUMIWA WA KWANZA.Sura inajionyesha tu
View attachment 3430648
Mhuni papaa mmoja, muhajemi by Mtikila voiceKwaiyo ni itikadi au Itifaki??
Ili uwe na "nasaba na CCM"... kila kitu useme "tawile".... ideology za kitumwa sana...DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Rostam sio mtu rahisi.Huyu mwnaa mtandao kwenye episode ya nne atachafuka ajiandae kisaikojia
Sio familia yang tuh mpk wateja wangu na mtaa ulionizunguka .we kama hujaona faida ya Dp world itakua unaishi KenyaUkimpa heshima wewe inatosha, na hayo mambo chanya unayoyasema labda ni huko kwenye familia yako.
Rostam Aziz, stop attaking our hero. You have no legal or moral rights to comment on Hon Ambassador HPP. You are not only a foreigner in CCM but also in Tanzania. Go back to your burning Yemen where you are born. You among the many foreigner and corrupt invaders of our Party. CCM was a mass Party of Peasants and Workers before it was sold to corrupt syndicates by the 4th National Chairman, JK and since then this party ceased to be the mass party instead became a minority greedy members like you. Shame on you for attacking our revolutionary son of the Nation who has been courageous and heroic enough to condemn what is currently going on in our Party. He is not alone, but millions of real members are behind him and backs his move. So you better keep quite or if not go back to your hell country of Yemen. You have stolen eneough from our country coffers and resources.Raia wa wapi huyu?
Umaskini ni laanaPonjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.
Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake!
Sijasikia akijibu hoja za polepole huyu ponjoro mwandamiziAliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Watu wapo serious, huyo sio kibajajPole pole atasema yote Na hakuna anaejali Mambo yataenda kama yalivyopangwa tatizo wananchi hatupo serious kabisa, HAKUNA KITAKACHOBADILIKA .
Kampuni kuna kipengele cha JV joint venture yote yanawezekanaDP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM