-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 1,669
- 2,806
Wahuni wanaanza kujitokesa taratibu
Unauliza watu wa system wamekwama wapi? Na wakati huyo ndio boss wa hao watu wa system, yaan yeye na swahiba wake Kikwete ndio wanaamua nani awe wapi na nani atoke!!Hivi Tanzania inakuwaje huyu Agent wa CIA Tanzania kukaribishwa hadi chumbani?
Alipaswa ashughuke na biashara tu,
Wazawa kama Bakhressa na Moo wako busy na biashara.
Watu wa system mlikwama mnakwama wapi?
Huyu ndio Design ya wale Magu alisema watamchukia sana lakini leo hii anatetea CCM na Ikulu kwa utamu wa asali.Huyu ndiye mwenye DP world kwa msiofahamu. Na ndiye mtekaji mkuu.
Sio rahisi watu walikua wana mfumo ndani ya serikali uoni siri nyingi za Magu zilikuwa zinavuja Kigogo😂😂Moja ya watu ambao Magufuli alitakiwa kumalizana nao kabisa kabla hajafariki ni pamoja na huyu muhindi, maana huyu Rostam ni moja ya watu hatari sana ambao ndio wanachangia umaskini mkubwa sana wa taifa hili.
Hawa ndio madalali wa rasilimali za Tanganyika na ndio walimshauri Samia kwenye mkataba wa DP world.
Ni hatari sana huyu jamaa kwa ustawi wa taifa japo watanzania wengi hawalijui hilo, wao wanafurahia maelfu ya ajira alizotoa kwa watu hapa nchini kupitia kampuni ambazo ana share kubwa.
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kut
Aisee, wakulaumiwa nani?Unauliza watu wa system wamekwama wapi? Na wakati huyo ndio boss wa hao watu wa system, yaan yeye na swahiba wake Kikwete ndio wanaamua nani awe wapi na nani atoke!!
System ya hili taifa imeoza sana ndugu.
Wakulaumiwa nani? Ni sisi watanzania wenyewe maana haya yanafanyika tukiwa tunaona.Huyu ana uraia wa nchi mbili,
Kwa
Aisee, wakulaumiwa nani?
Nchi ina wazee, ina jicho la nchi, ina walinzi wa nchi, wa kulaumiwa ni wazee na jicho la nchi kukubali kumwingiza kwenye siasa za nchi na kwenye systemWakulaumiwa nani? Ni sisi watanzania wenyewe maana haya yanafanyika tukiwa tunaona.
Naam naam tuendelee Kula mtori nyama zipo chiniKweli Polepole kawashika pabaya, hadi Rostam katoka pangoni ku comment kuhusu Polepole!??.., no wonder akisema kesho anaongea wanajiandaa kuzima mitandao, ajabu ni kuwa hawana uhakika wazime mtandao upi,. Ambacho nina uhakika nacho baada ya hawa jamaa ku panic ni kwamba wanajua kuwa ana taarifa nyingi sana, tena taarifa nyeti. Kuna uwezekano mtu asiyetegemewa akaja kudondosha mbuyu.
Basi angeanza na huo mfumo wa ndani ya serikali kisha akafuata hawa manyangumi., sema hicho kizee cha msoga ndio kilikuwa kinamlinda kipindi hicho na ndio maana hata team msoga ilivyoishiwa nguvu jamaa akakimbia nchi.Sio rahisi watu walikua wana mfumo ndani ya serikali uoni siri nyingi za Magu zilikuwa zinavuja Kigogo😂😂
Kama ndio mwenye dp world inabidi tumpe heshima kubwaaa mnooHuyu ndiye mwenye DP world kwa msiofahamu. Na ndiye mtekaji mkuu.
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Naona wahuni taratibu mnaanza kutoka kwenye mashimo yenu mliyokuwa mnayatumia kujificha.Polepole ni kama popo vile. Kwanza uso hajulikani ni kijana au mzee. Pili afya yake yaonekana mgogoro. Tatu haijulikani kama ana familia au ni msela tu. Nako CCM aliletwa na Magufuli baada ya ya kushiriki bunge la Katiba.
Na wakati wa Magufuli ndiyo tuliona uvunjaji wa Katiba wa hali ya juu na kukandamiza demokrasia na uhuru wa maoni. Na kipindi hicho hakuthubutu kusema lolote kwa vile alikuwa kwenye top cream ya wanaoamua na kupanga hatma ya Tz
Huyu mtu hana lolote la kumchukulia serious
View: https://www.instagram.com/reel/DM5x8glx9yA/?igsh=MXJzaGFvcTl1ZXR3ZA==
Nimemsikiliza aliye wahi kuwa mweka hazina wa CCM na mbunge wa Igunga bwana Rostam Aziz ana mengi ya kusema kuhusu Humphrey Polepole.
Anasema hizi mila na desturi nzuri ndani ya chama zinaingelewa na mtu ambae hajawahi kuwa ndani ya CCM aliibuliwa tu na kupewa u katibu wenezi.
Kubwa zaidi kumbe Magufuli alifariki akiwa cha nchi taabani kiuchumi.!
Hao wazee ndio maadui namba moja wa taifa hili ndugu, yaan hao ndio wapasa tuwapige vita ikiwezekana tuwamalize mmoja baada ya mwingine.Nchi ina wazee, ina jicho la nchi, ina walinzi wa nchi, wa kulaumiwa ni wazee na jicho la nchi kukubali kumwingiza kwenye siasa za nchi na kwenye system
Nafikiri hawafahamu vizuri. Ni kweli wawili ndio wametangulia. Edo na mzee wa mipango na mikakati mizitohahahaha, HP amesema hilo kundi walikuwa watano mmoja katangulia mbele ya haki, wanne bado wapo hai.
Namsaidia Polepole, waliotangulia mbele ya haki ni wawili.
ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.
Huyu mama sijui kama anajua hatari iliyomzunguka. Rostam ni mtu hatari sanaWahuni wanaanza kujitokesa taratibu
Anaweza kuwa ni kweli hana nasaba na CCM lakini nafasi alizobahatika bahatika kuwa nazo kwa muda huo mfupi zilimuwezesha kufahamu mengi hata yale ya ndaani kabisa ambayo hata wenye muda mrefu na nasaba ndani ya CCM hawayafahamu.DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM