GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ponjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.

Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake!
Ni mwarabu siyo muhindi
 
Huyu hata huko Igunga, hana hata kibanda. Igunga alikuwa anaitumia tu kuupata ubungr lakini siyo kwake na wala hana makazi. Yeye ni mtu deals chafu kupitia serikali. Kila utawala anapenda aiteke serikali ili aweze kukamilisha deaks zake chafu. Kwa awamu hii ndiyo amefanikiwa kuliko zote, ameuza bandari, mbuga za wanyama, hufadhi za misitu mpaka viwanja vya ndege. Na ili kuwa karibu na mtawala, muda wote amemshirikisha Abduli. Ndiyo maana Abduli naye amekuwa tajiri kupindukia, kuoitia hongo za waarabu.
Ni bahati mbaya sana watanzania wengi hawai haya wanamuona huyu jamaa ni kama muokozi wa watanzania kwa ajira kadhaa alizotoa hapa nchini..

Ila huyu mtu ni mshenzi sana na adui wa taifa letu.. na endapo kma tungekuwa na viongozi wazalendo asingejanyaga hapa nchini tena.

Magufuli alijitahidi sana kudeal na mapapa kama hawa, ila waliobaki sasav
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Yeye kilichomkimbiza kwenye ubunge awamu ya nne ni nini?
Sasa kama ana nasaba na ccm angebwaga manyanga nafasi zote za ccm?
Adangqnye watoto wa siku hizi labda.
Enzi zetu tulikuwa na somo la siasa kwa kwa hiyo tulizisoma ahadi kumi za Tanu na kuzikariri.
Sasa kama vyama vingi vimekuja 1992. nina hakika Polepole si mtoto kiasi cha kutoijua ccm kama anavyosema Rostam.
Ukute yeye Rostam na genge Lao ndio sehemu ya uharibifu wa misingi ya ccm wakishirikians na Kikwete wake walipoingia Madarakani 2005.
Mitandao ya kuhujumiana imeanza kipindi hicho.
Nani asiyekumbuka walivyomhujumu Dr. Salim Ahmed Salim Kwa kumtengenezea scandal za uongo.
 

View: https://www.instagram.com/reel/DM5x8glx9yA/?igsh=MXJzaGFvcTl1ZXR3ZA==

Nimemsikiliza aliye wahi kuwa mweka hazina wa CCM na mbunge wa Igunga bwana Rostam Aziz ana mengi ya kusema kuhusu Humphrey Polepole.

Anasema hizi mila na desturi nzuri ndani ya chama zinaingelewa na mtu ambae hajawahi kuwa ndani ya CCM aliibuliwa tu na kupewa u katibu wenezi.

Kubwa zaidi kumbe Magufuli alifariki akiwa cha nchi taabani kiuchumi.!

Mh,Rostam Bwana,bora angekaa kimya ila mkipata nafasi ya kuuliza popote muulizeni haya machache?

1.Kwanini anahoji uhalali na uongozi wa .H Polepole sasa na sio wakakati alipokua katibu mwenezi?

2.Muulizeni Rostam,anafahamu kuwa shule na hospitali zimeongezeka sababu ya COVID funds sio jitihada za Samia?
 
Polepole hakijui chama cha mapinduzi,ni mtu aliyekokotwa alipokuwepo na kupewa uwenezi ndani ya chama 2015,kwa hisani ya hayati, ndiyo maana wana ccm wenyewe halisia wanamtizana na kumpuuza tu,as Idiot's harmless objects!
Hafahamu historia ya chama kwa kwa kuwepo ndani ya chama kwa muda MREFU,bali anakifamu chama kwa kusoma historia vitabuni na kukariri,
-We Polepole umecheza chipukizi kweli wewe?
-Rostam amemuelezea vizuri sana....!
 
Baada ya kuvimbiwa wanajitokeza sasa tunasubiria dozi iongezwa
 

View: https://www.instagram.com/reel/DM5x8glx9yA/?igsh=MXJzaGFvcTl1ZXR3ZA==

Nimemsikiliza aliye wahi kuwa mweka hazina wa CCM na mbunge wa Igunga bwana Rostam Aziz ana mengi ya kusema kuhusu Humphrey Polepole.

Anasema hizi mila na desturi nzuri ndani ya chama zinaingelewa na mtu ambae hajawahi kuwa ndani ya CCM aliibuliwa tu na kupewa u katibu wenezi.

Kubwa zaidi kumbe Magufuli alifariki akiwa cha nchi taabani kiuchumi.!

Jiwe limerushwa kwenye mzinga minyuki imeanza kujitokeza
 
Polepole ni kama popo vile. Kwanza uso hajulikani ni kijana au mzee. Pili afya yake yaonekana mgogoro. Tatu haijulikani kama ana familia au ni msela tu. Nako CCM aliletwa na Magufuli baada ya ya kushiriki bunge la Katiba.

Na wakati wa Magufuli ndiyo tuliona uvunjaji wa Katiba wa hali ya juu na kukandamiza demokrasia na uhuru wa maoni. Na kipindi hicho hakuthubutu kusema lolote kwa vile alikuwa kwenye top cream ya wanaoamua na kupanga hatma ya Tz

Huyu mtu hana lolote la kumchukulia serious
Tabia za kushambulia watu baada ya hoja uwa ni Ujinga
 
Back
Top Bottom