Hakuna hoja mpya. Ni hisia zake tu. He is entitled to his opinion.Je hoja zake zinajibika ?
Pia alikuwa hata hatulii kama ulimuangalia vizuri.Nimeona sauti yake haitoki vizuri, labda jazba
Ila hoja zake si zina mashiko? Utaratibu wa kupata mgombea haujafatwa au?Rostam yuko sahihi.
Ni kweli kabisa halo halina ubishi, Polepole hana historia ktk chama bali alidandia treni njiani.
View: https://www.instagram.com/reel/DM5x8glx9yA/?igsh=MXJzaGFvcTl1ZXR3ZA==
Nimemsikiliza aliye wahi kuwa mweka hazina wa CCM na mbunge wa Igunga bwana Rostam Aziz ana mengi ya kusema kuhusu Humphrey Polepole.
Anasema hizi mila na desturi nzuri ndani ya chama zinaingelewa na mtu ambae hajawahi kuwa ndani ya CCM aliibuliwa tu na kupewa u katibu wenezi.
Kubwa zaidi kumbe Magufuli alifariki akiwa cha nchi taabani kiuchumi.!
Wahuni wameanza kuibuka
🤣🤣
Hili ndiyo huni kubwa kuliko wote. Kiongozi yeyote akimweka karibu huyu mtu, lazima achafuke, maana yeye wakati wote huwa yupo na deals chafu.Wahuni wameanza kuibuka
🤣🤣
Wewe huyo😊DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Hoja za Polepole zinahitaji uwe na Historia chamani Kwa miaka mingapi?.Rostam yuko sahihi.
Ni kweli kabisa halo halina ubishi, Polepole hana historia ktk chama bali alidandia treni njiani.
Ni kweli ila mabadiliko huja taratibu tulipotoka si sawa na tulipofikia sasa.Pole pole atasema yote Na hakuna anaejali Mambo yataenda kama yalivyopangwa tatizo wananchi hatupo serious kabisa, HAKUNA KITAKACHOBADILIKA .
Ponjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.
Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake!
Ponjoro wa Igunga huyu ni bora akae kimya tu.
View: https://www.instagram.com/reel/DM5x8glx9yA/?igsh=MXJzaGFvcTl1ZXR3ZA==
Nimemsikiliza aliye wahi kuwa mweka hazina wa CCM na mbunge wa Igunga bwana Rostam Aziz ana mengi ya kusema kuhusu Humphrey Polepole.
Anasema hizi mila na desturi nzuri ndani ya chama zinaingelewa na mtu ambae hajawahi kuwa ndani ya CCM aliibuliwa tu na kupewa u katibu wenezi.
Kubwa zaidi kumbe Magufuli alifariki akiwa cha nchi taabani kiuchumi.!
Moja ya watu ambao Magufuli alitakiwa kumalizana nao kabisa kabla hajafariki ni pamoja na huyu muhindi, maana huyu Rostam ni moja ya watu hatari sana ambao ndio wanachangia umaskini mkubwa sana wa taifa hili.Huyu muIran, yeye historia kubwa aliyonayo ndani ya CCM, ni ufisadi uliopindukia. Hana jema lolote kwa nchi hii, zaidi ya kuitafuna. Arudi kwao, kwa Ayatollah. Huyu ndiyo alifanya ule uharamia wa meli za Iran kutumia bendera ya nchi yetu ili kukwepa vikwazo vya kiuchumi.
Sahizi ndiye amekuwa kuwadi wa waarabu katika kupora rasilimali za Tanganyika.