GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Alichofanya Polepole ni kumwaga maji kwenye mashimo ya panya. Panya lazima watoke wote hadharani kuona namna gani wanajinusuru
 
Watz wengi akili hawana wanatumia mihemko na hisia tuh.
Kama rostam angemtetea pole pole hapa angetukuzwaa balaaa
Ila ndio hivo ukisema serikal Iko vizur unaitwa chawa upuuzi mtupu
Kamwe Rostam azizi awezi kumtetea mzalendo kanuni no moja ya GENGE HATARI LA BWANA ROSTAM AZIZI NI KUAKIKISHA WAZALENDO WOTE WANAULIWA NCHINI
 
Huyu ni moja ya team wahuni walioiteka serikali ya sa100, kumbuka huyu ndiye aliyeshiriki pakubwa kumuingiza jk madarakani!
Marehemu Mengi alimuita FISADI PAPA!
Huyu mwarabu Koko siku Tanzania itakapokombolewa kutoka mikononi mwa wahuni, yeye atafute pa kukimbilia, Hatakuja kubakia salama katika nchi hii kwa maumivu na uporaji alioifanyia. We are not that much fool, still there are patriotic individuals who can fight to get back our country to where it is supposed to be, not currently regimes which you placed into your pockets.
 
Rostam Aziz, stop attaking our hero. You have no legal or moral rights to comment on Hon Ambassador HPP. You are not a foreigner in CCM too but also in Tanzania. Go back to your burning Yemen where you are born. You among the many foreigner and corrupt invaders of our Party. CCM was a mass Party of Peasants and Workers before it was sold to corrupt syndicates by the 4th National Chairman, JK and since then this party ceased to be the mass party instead became a minority greedy members like you. Shame on you for attacking our revolutionary son of the Nation who has been courageous and heroic enough to condemn what is currently going on in our Party. He is not alone, but millions of real members are behind him and backs his move. So you better keep quite or if not go back to your hell country of Yemen. You have stolen eneough from our country coffers and resources.
Congratulations. You really have a calling in BROKEN English.
 
Hivi Tanzania inakuwaje huyu Agent wa CIA Tanzania kukaribishwa hadi chumbani?
Alipaswa ashughulike na biashara tu,
Wazawa kama Bakhressa na Moo wako busy na biashara.
Watu wa system mlikwama mnakwama wapi?
Hata February wanasema ni CIA
 
Sio familia yang tuh mpk wateja wangu na mtaa ulionizunguka .we kama hujaona faida ya Dp world itakua unaishi Kenya
Hakuna mabadiliko yoyote ya maana yaliyoletwa na huo mkataba wa kinyonyaji period, tunajua nyie wachumia tumbo na akili zenu za kibinafsi chochote kitu kikiwanuwaisha nyie huwa mnakisifia sana na kuassume kila mtu ni mnufaika...
 
Kamwe Rostam azizi awezi kumtetea nzalendo kanuni no moja ya GENGE HATARI LA BWANA ROSTAM AZIZI NI KUAKIKISHA WAZALENDO WOTE WANAULIWA NCHINI
Akili gani hizi?
Leo hii pole pole ni mzalendo
Hata lowasa alivoingia chadema alikua mzalendo 🤣🤣
 
Congratulations. You really have a calling in BROKEN English.
Rostam Aziz, stop attaking our hero. You have no legal or moral rights to comment on Hon Ambassador HPP. You are not only a foreigner in CCM but also in Tanzania. Go back to your burning Yemen where you are born. You among the many foreigner and corrupt invaders of our Party. CCM was a mass Party of Peasants and Workers before it was sold to corrupt syndicates by the 4th National Chairman, JK and since then this party ceased to be the mass party instead became a minority greedy members like you. Shame on you for attacking our revolutionary son of the Nation who has been courageous and heroic enough to condemn what is currently going on in our Party. He is not alone, but millions of real members are behind him and backs his move. So you better keep quite or if not go back to your hell country of Yemen. You have stolen eneough from our country coffers and resources.
 
Samahan mkuu shughuli za bandar kabla ya Dp na baada ya Dp umefanya?
Mkuu acha siasa za kitoto jambo kama limefanyika na kuleta matokea mazur ukisifia c ujinga wala uchawa.
Nyie ndio hata mfanyiwe jema lipi shukran hamna mnataka mabaya tu myasikie Kila cku

Hakuna mabadiliko yoyote ya maana yaliyoletwa na huo mkataba wa kinyonyaji period, tunajua nyie wachumia tumbo na akili zenu za kibinafsi chochote kitu kikiwanuwaisha nyie huwa mnakisifia sana na kuassume kila mtu ni mnufaika...
 
Kwani ponjoro aliletwa na nani? Alipewa kazi na mweka hazina na nani? Salome Mbatia ameishia wapi?
Huyu Banian wa Yemen ni opportunist na Mafia mkubwa. Kipindi akiwa wa mweka Hazina wa CCM na akiwa mpango wa Kando wa Bibi Zakhia Megji kipindi hicho akiwa ni Waziri wa Fedha. Hapo mambo ndipo yalaiharibika zaidi na kusomba dollars kutoka Hazina kwa Tenda hewa huku wakienda kujivinjari Nairobi na ugaibuni pamoja .Aliiteka Hazina yetu kupitia bibi huyu pia wa Kichotara aliyekabidhiwa Fuko letu la Hazina.
 
hayo ni matokeo ya dhambi za wizi wake
fikiria kutoka Caspian hadi Taifa
yupo kila mgodi wa dhahabu
na ule mgodi wa Almasi Shinyanga ni wa kwake sasa hivi.
Je, watu wanategemea Rostam aseme nini juu ya Samia?
Huwa nashangaa eti MO ndiye tajiri kuliko hawa waporaji.
Forbes ni wapumbavu achana na icho kijarida wenye pesa ndo hao tycoon
 
Sio rahisi watu walikua wana mfumo ndani ya serikali uoni siri nyingi za Magu zilikuwa zinavuja Kigogo😂😂
Kijana Kipara pre-February ndiye alikuwa anajifanya Kigogo na kuvujisha siri zote za JPM. Ila Mungu si asuman ametendwa naye na hapa ndo mwisho wa ndoto yake.
 
Back
Top Bottom