GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rostam yupo sahihi. Cha kufurahisha watetezi wa Polepole ni wafuasi wa Chadema wamemsahu kabisa Lissu😂
 
Wanaanza kujitokeza m1 baada ya mwingine.
Wacha tuone.
 
Fake Name, rest assured that I am not your caliber in any measure ! Your kind of reaction speaks a lot of your self. You cant grasp an idea of my post, instead you jump on the phrasing. My English is good enough to deliver .
Practice..practice... practice
 
Ni mwarabu siyo muhindi
WEWe ndo hujui kitu kabisa! Ni karibu kabisa na uhindi kuliko uarabu
Tangu lini watu wa Baluchistan wakawa waarabu? Sehemu ipo kati ya Pakistan na Iran halafu apatikane mwarabu? Ni afadhali huyo aliyemuita muhindi kuliko huo uarabu mnaompa .. japo usahihi ni Muajemi
Asili yake ni Baluchistan huko,na kwa hapa Tanzania utawakuta maeneo kama mbarali,nzega,kahama na Tabora mjini
Unamkumbuka yule mbunge wa Mbarali aliyepita (2015-20),pirmohamed au aliyekuwa mwenyekiti wa Ccm Mbeya(Nawab mullah)? Ndio race hiyo
 
Kwa mbali nawakumbuka mapacha watatu katika operation vua gamba iliyoongozwa na Katibu Mwenezi wa CCM Nape chini ya Katibu Mkuu Kinana.

Kwa kweli CCM ni kituko na ina vituko!
 
Polepole ni kama popo vile. Kwanza uso hajulikani ni kijana au mzee. Pili afya yake yaonekana mgogoro. Tatu haijulikani kama ana familia au ni msela tu. Nako CCM aliletwa na Magufuli baada ya ya kushiriki bunge la Katiba.

Na wakati wa Magufuli ndiyo tuliona uvunjaji wa Katiba wa hali ya juu na kukandamiza demokrasia na uhuru wa maoni. Na kipindi hicho hakuthubutu kusema lolote kwa vile alikuwa kwenye top cream ya wanaoamua na kupanga hatma ya Tz

Huyu mtu hana lolote la kumchukulia serious
Kwa hiyo wewe unashauri tumpuuze Polepole na tumwamini zaidi Rostam?
 
OPERESHENI VUA GAMBA MWAKA 2011 ILIMVUA UBUNGE PONJORO ROSTAM AZIZ!!
 
WEWe ndo hujui kitu kabisa! Ni karibu kabisa na uhindi kuliko uarabu
Tangu lini watu wa Baluchistan wakawa waarabu? Sehemu ipo kati ya Pakistan na Iran halafu apatikane mwarabu? Ni afadhali huyo aliyemuita muhindi kuliko huo uarabu mnaompa .. japo usahihi ni Muajemi
Asili yake ni Baluchistan huko,na kwa hapa Tanzania utawakuta maeneo kama mbarali,nzega,kahama na Tabora mjini
Unamkumbuka yule mbunge wa Mbarali aliyepita (2015-20),pirmohamed au aliyekuwa mwenyekiti wa Ccm Mbeya(Nawab mullah)? Ndio race hiyo
Pirmohamed alikuwa jirani yangu pale Gangilonga Iringa 😄
 
Polepole ni kama popo vile. Kwanza uso hajulikani ni kijana au mzee. Pili afya yake yaonekana mgogoro. Tatu haijulikani kama ana familia au ni msela tu. Nako CCM aliletwa na Magufuli baada ya ya kushiriki bunge la Katiba.

Na wakati wa Magufuli ndiyo tuliona uvunjaji wa Katiba wa hali ya juu na kukandamiza demokrasia na uhuru wa maoni. Na kipindi hicho hakuthubutu kusema lolote kwa vile alikuwa kwenye top cream ya wanaoamua na kupanga hatma ya Tz

Huyu mtu hana lolote la kumchukulia serious
Polepole kawakamata vibaya sana.
 
Back
Top Bottom