GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna kipindi RA alikuwa ndio mweka hazina wa chama, wahuni aka La Cosa nostra sio watu.

HP anasema shughuli za chama hazifanyiki Lumumba, bahati mbaya kaitaja mpaka Upanga.... hahahaha.

ndani ya mitaa ya Kabul -Afghanistan.
Hiyo Upanga ni kwa nani?
 
Amejua ndiyo sababu ametoka hadharani Kwa uwoga kupiga mayowe, maana kama angekuwa siyo factor angenyamaza kimya...Amejua si kawaida tena!
Muajemi sio?
 
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.

Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.

Una maoni gani kwa Rostam Aziz?

View attachment 3430303

F9Nuw_WXYAA3qAr.jpeg
 
Kama mpinzani anaweza kutoka upinzani na muda mfupi anapewa uteuzi huku wanafisiemu wapo anataka uzoefu gani kwa walio ndani ya ccm kama bro Humpherey?
 
Hili nalo FISADI tu linatetea mafisadi wenzake ndani ya ccm wakiongozwa na zee la msoga, kwamba tuendelee kuwaona watu wale wale kila siku kwenye chama na serikali?? Magufuli aliamua kuleta damu mpya na kizazi kipya, ila hili jizi lililokubuhu halikuelewa somo ***** zake. Majitu kama hili inatakiwa bongo kitokee kikundi cha kuwasanula mmoja mmoja na AK 47 hadi hiki kizazi kiishe chote ndio nchi itapiga hatua.
 
swali la kitoto sana hilo...
huo ni mmoja wa "misamiati" ya wajanja wachache kwenye siasa kulinda maslahi yao...
Ridhwan kikwete alikua mbeya 1992 kwenye mkutano wa chipukizi wa CCM
Polepole oktoba 2015 hakuwa mwana CCM...
Polepole hana nasaba na CCM na wala haijui
 
SS wanahangaika nn mpk kushut down ntwk km Hana nasaba na ccm?
SI wampotezee tu
Ntwk na kuwa na nasaba na CCM vinahusiana nini!... uwezo wenu wa kiakili mdogo sana ndiyo maana mnaburuzwa na wahuni
 
Yeye kilichomkimbiza kwenye ubunge awamu ya nne ni nini?
Sasa kama ana nasaba na ccm angebwaga manyanga nafasi zote za ccm?
Stupid argument,kubwaga manyanga hakuondoi yeye kuwa na nasaba na ccm
Adangqnye watoto wa siku hizi labda.
Enzi zetu tulikuwa na somo la siasa kwa kwa hiyo tulizisoma ahadi kumi za Tanu na kuzikariri.
Sasa kama vyama vingi vimekuja 1992. nina hakika Polepole si mtoto kiasi cha kutoijua ccm kama anavyosema Rostam
Polepole hakusoma siasa shuleni bali uraia, watanzania wengi wanaijua CCM lakini hawana nasaba nayo
.
Ukute yeye Rostam na genge Lao ndio sehemu ya uharibifu wa misingi ya ccm wakishirikians na Kikwete wake walipoingia Madarakani 2005.
Mitandao ya kuhujumiana imeanza kipindi hicho.
Umeanzia 2005 badala ya 1995, unaogopa utamtia dole la macho mtakatifu na sarakasi zake?
Nani asiyekumbuka walivyomhujumu Dr. Salim Ahmed Salim Kwa kumtengenezea scandal za uongo.
Walimuhujumu vipi Salim!?..kumuita hizbu!?..kambi yake ingesema tu Salim siyo hizbu
 
Rostam yupo sahihi. Cha kufurahisha watetezi wa Polepole ni wafuasi wa Chadema wamemsahu kabisa Lissu😂
Yaani kama kura ikiitishwa sasa hv huko CDM nani awe Chairman, Slowslow anashinda Asubh tu
 
Hili nalo FISADI tu linatetea mafisadi wenzake ndani ya ccm wakiongozwa na zee la msoga, kwamba tuendelee kuwaona watu wale wale kila siku kwenye chama na serikali?? Magufuli aliamua kuleta damu mpya na kizazi kipya, ila hili jizi lililokubuhu halikuelewa somo ***** zake. Majitu kama hili inatakiwa bongo kitokee kikundi cha kuwasanula mmoja mmoja na AK 47 hadi hiki kizazi kiishe chote ndio nchi itapiga hatua.
😁😁😁😆
 
Ntwk na kuwa na nasaba na CCM vinahusiana nini!... uwezo wenu wa kiakili mdogo sana ndiyo maana mnaburuzwa na wahuni
Vinahusiana nn?
Au hujaelewa hoja?

Hoja Kwann wasimpotezee mtu Ambae Hana vinasaba na ccm? Means Hana impact yyt ht aongee Shida nn?
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Kwani wakati Rostam analeta Voda hapa na kupewa hisa 30% ulikuwa bado uko Makunduchi???
 
Ridhwan kikwete alikua mbeya 1992 kwenye mkutano wa chipukizi wa CCM
Polepole oktoba 2015 hakuwa mwana CCM...
Polepole hana nasaba na CCM na wala haijui
Sasa ulitaka Ridhiwan Kikwete awe Chipukizi wa Chadema au NRA ?
Najua unachotaka kumaanisha na ulichoaminishwa ,,, siye walimwengu tunasema hilo neno lenu "nasaba na CCM" ni metaphorical expression... mnampigia "mbwa" wenu anayegoma kuwawindia nyama zenu haramu...
 

View: https://www.instagram.com/reel/DM5x8glx9yA/?igsh=MXJzaGFvcTl1ZXR3ZA==

Nimemsikiliza aliye wahi kuwa mweka hazina wa CCM na mbunge wa Igunga bwana Rostam Aziz ana mengi ya kusema kuhusu Humphrey Polepole.

Anasema hizi mila na desturi nzuri ndani ya chama zinaingelewa na mtu ambae hajawahi kuwa ndani ya CCM aliibuliwa tu na kupewa u katibu wenezi.

Kubwa zaidi kumbe Magufuli alifariki akiwa cha nchi taabani kiuchumi.!

wqnufaika wq rasilimali za nchi wameanza kujitokeza baada ya masilahi yao kuanza kuguswa, polepole endeleea kuwachokonoa watatoka wote
 
Tabia za kushambulia watu baada ya hoja uwa ni Ujinga
Kwa hiyo unajiona wewe ndiyo una akili? Ulikuwa wapi 2016-21 wakati Polepole ananunua wabunge wa CDM?? Nisijekuwa nabishana na kitoto cha 2000
 
Back
Top Bottom