Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Wamchukue basi kielewekeSlowslow sasa hivi ndio turufu ya CHADEMA
Wamchukue basi kielewekeSlowslow sasa hivi ndio turufu ya CHADEMA
Wanajifanya kama hawajali, lkn ni suala la muda tu watampiga tukioWahuni. Na huko nyuma ya pazia kutakuwa na mipango mikali sana dhidi ya kiparangoto
Ponjoro ndiyo nani? Tuanzie hapa kwanzaKwani ponjoro aliletwa na nani? Alipewa kazi na mweka hazina na nani? Salome Mbatia ameishia wapi?
Sisi tunashanglia kwa kuwa siri zinatoka na mwenyekiti nae kanyamaza .Whether Slow slow ni CCM from Jiwe or not sisi tunajua alikuwa katibu mwenezi hata kama kwa mwezi mmoja.Nilichogundua mwenyekiti anatakiwa aonyeshe leadership yake na kuhakikisha hiki kitu cha kusema siri za chama au kumjibu slow bila mpangilio kikomeshwe .Ukiona mwananke au wanawake wanatoa siri za ndani ,ujue Mume wao hamnazo .Ndio yanayotokea CCM kwa sasa.Rostam ndio yuko na Mama ndio muda wao ,Slow alikuwa na jiwe .Sisi tunacho shangilia ni nyumba moja ina nyufa nyingi inategemea mpangaji ni wa tabia gani.ANGALIA KITU ALICHOZUNGUMZA,KINA UKWELI KUHUSU HUYO NGUCHIRO POLE POLE AU HAKINA UKWELI??
POLE POLE HAJAWAHI KUWA CCM UNTIL JIWE ALIPOMSOGEZA YEYE NA BASHIRU KWA UBABE WAKE,SASA HIZO MILA NA DESTURI ZA CCM ANAZIJULIA WAPI,INFACT HATA ALIPOKAWA MWENEZI ALIKUWA NI KAMA MKONO WA CHUMA WA JIWE KATIKA KUUMIZA WATU NDANI YA CHAMA NA WAPINZANI,SASA HUO UHALALI WA KUZUNGUMZA NA NYINYI MKAWA MNASHANGILIA ANAUTOA WAPI?
Mpuuze Polepole, he is just a loserKwa hiyo wewe unashauri tumpuuze Polepole na tumwamini zaidi Rostam?
Ndiyo zinajibika
Kundi la Mtandao huyu ni No. 2. Namba moja ni Sani Abacha wa Tanzania anajulikana kama Luteni Kanali Jakaya Mrisho KikweteHuyu ndiye "mpiga copy" serekali aka mhuni mkuu, aka "the king maker"!!!??
Sasa hivi yameshamiri. Kipindi hicho ilikuwa sporadic.Dr. Ulomboka
Jibuni Sasa...Ndiyo zinajibika
Ponjoro hili lilirudi India . Huyu si Mtanganyika ni Mhindi kutoka India. Yuko hapa kwa vile anachuma mali zetu.
Mshenzi huyu ana passport za Marekani, UK na Canada, most likely kama walivyo wahindi wenzake
Kuna ubaya wowote yeye kuwa mwenye Dp World ?Huyu ndiye mwenye DP world kwa msiofahamu. Na ndiye mtekaji mkuu.
Umezaliwa lini ?Kipindi cha jk mbona mambo yao yakienda bila kutekana?
Wageni wameshakuwa wenyejiRaia wa wapi huyu?
Alileta voda kutoka wapi?..hisa alipewa au alinunua?Kwani wakati Rostam analeta Voda hapa na kupewa hisa 30% ulikuwa bado uko Makunduchi???
Nasaba na impact vitu viwili tofauti,una shida gani!?..mtu akianza kuichafua familia yenu kwenye Media hutojibu?!Vinahusiana nn?
Au hujaelewa hoja?
Hoja Kwann wasimpotezee mtu Ambae Hana vinasaba na ccm? Means Hana impact yyt ht aongee Shida nn?
Ulizaliwa lini?Umezaliwa lini ?
Hao walionunuliwa si ni watu huru? Au walilazimishwa kununuliwa? Unaingilia uhuru wa watu wapende nini na nini wasipende?Kwa hiyo unajiona wewe ndiyo una akili? Ulikuwa wapi 2016-21 wakati Polepole ananunua wabunge wa CDM?? Nisijekuwa nabishana na kitoto cha 2000
U guess kelele zake polepole zitaitikisa serikali? Fala coz kapewa u*ambassador atumikie taifa lakini ni bogusHakuzidi wewe..!!
Okay, what is next ??? ni bogus tu polepole there nothing can happen kwa kelele zake Huyo mwendawazimuNawe usiye fala hebu itisha waandishi wa habari tuone kama mitandao itafungwa.
Wapuuzi wote...chawa, kunguni na mende mtajitokeza mmoja baada ya mwingine.
Big brain hujadili yaliyo mbele yao.Kwa hiyo unajiona wewe ndiyo una akili? Ulikuwa wapi 2016-21 wakati Polepole ananunua wabunge wa CDM?? Nisijekuwa nabishana na kitoto cha 2000