GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hiyo haiwezi kumuongelea polepole haki yake ya Kuhoji angalia joined alafu urudie maneno yako
Kwa hiyo unajiona wewe ndiyo una akili? Ulikuwa wapi 2016-21 wakati Polepole ananunua wabunge wa CDM?? Nisijekuwa nabishana na kitoto cha 2000
 
Polepole kawabeep wameanza kumpigia jibuni hoja msijadili personality
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Ili kampuni ipate entrance katika taifa Fulani, wanaotangulia ni brokers kwanza wanakuja kufanya lobbying na brokers wandani na kuona ni namna Gani mambo yataenda ivo walio seal ilo deal ni brokers tu na Government inakuja kufanya formality baada ya kuwa briefed na brokers wandani
 
Jibu swali acha blah blah
Ushawai kutumia bandar kabla na baada ya Dp ?
Mkataba uuone WW kama nani? We ni mwananchi kazi yako ni kupiga kura na kufanya kazi bhc mengine aachia serikal ifanye kazi .
Pumbav hata kutumia bandar ujawai alaf unajidai hutak data za kupikwa
Hio hojà kabishane kwenye kahawa

Binafsi huwa siendeshwi na data za kupikwa na majizi yaliyomo serikalini, huwa ninaridhishwa na mambo ninayoyaona kwa macho, mpaka sasa hivi hakuna mabadiliko ya maana yaliyoletwa na huo mkataba wa Kimangungo wa DP world...

Kwanza kuna usiri wa hali ya juu kuhusu mkataba wenyewe, labda nikuulize wewe huo mkataba uliouona na ukausoma na ukaona benefits zitakazoingia kwenye serikali ya tanganyika??

Yaani umekaza pumbu hapa eti unaitetea DP world na wakati wanufaika ni hao akina Rostam?

Nyie wala makombo ya mafisadi mna matatizo sana..
 
Unaongea nini wewe Magufuli, alikuwa mbunge zaidi ya miaka 20 wa kuchaguliwa na wananchi kupitia CCM huu mfano wako hata haufanani.
Hawa wapinga serikali hayana hojà Zaid ya kubwabwaja tuh
Ndio maana boss wao Yuko lupango kwa makosa hayo hayo ya kuropoka
 
Hao walionunuliwa si ni watu huru? Au walilazimishwa kununuliwa? Unaingilia uhuru wa watu wapende nini na nini wasipende?
Mimi nilihama chadema na kumkubali Mwamba Magufuli ni baada ya CHADEMA Kumleta waliyemnadi kuwa fisadi kuwa mgombea.
Kwamba mimi pia nilinunuliwa?
Huyo ni wewe na haki yako
 
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Kujua utaratibu ni lazima uwe kiongozi kwa miaka mingap?
 
Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.

Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.

Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
Mtandao umeanza kujibu mapigo ya Slow slow
 
Dangote broker alikua nani?
Wewe pengine hujui hizo mambo zinaenda vipi mpaka mtu anapata hio entrance, Dangote alikuja kipindi cha Chuma ambapo tayari investors wengi walikuwa na room ya kumuona direct Mkuu wa nchi, mana Uwekazaji wao ulikuwa analysed na Regulatory kabla ya approval, Je ulisikia kelele za entrance kwa wananchi kwa Dangote kama ilivo kwa DP word na Investors wa ngorongoro?
 
Back
Top Bottom