gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wajinga sana nyieSA.Hela za serikali kupitia chama
Wajinga sana nyieSA.Hela za serikali kupitia chama
Najua huyo utakuwa umemkumbuka. Ndio alikuwa hatari kwenye mtandao wao kwa mikakati migumu ya nyuma ya pazia kuliko wengine. Alienda Edo CDM na siku alipokutana na number 1 EDO na wenzie walianza kurudi CCM. Kundi lao lilikuwa na watu bright mno upstairs.Hapo naweza kukubali
Huyo nakubali alisaidia sana kuwaimarisha na hata kupindua meza 2005.Najua huyo utakuwa umemkumbuka. Ndio alikuwa hatari kwenye mtandao wao kwa mikakati migumu ya nyuma ya pazia kuliko wengine. Alienda Edo CDM na siku alipokutana na number 1 EDO na wenzie walianza kurudi CCM. Kundi lao lilikuwa na watu bright mno upstairs.
Mzee hujakaa na hao watu wawili Apm na Rostam. Kichwani wako vizuri pesa imewaongezea nguvu zaidi. Ni ngumu kuaminika na taasisi nyeti kama ni kilaza.Huyo nakubali alisaidia sana kuwaimarisha na hata kupindua meza 2005.
Kundi kuwa na watu bright naweza kupibga, nachoweza kukubali ni lina watu wenye pesa. Mwenye pesa huwa mipango yake haivurugiki kirahisi ndio maana huonekana anatulmia akili. Mfano Rostam, anaweza kununua kila mjumbe, hivyo hata afanye mpango gani lazima tu mpango utafanikiwa
Mtu akishakua na power+pesa, lazima aonekane ana akili sababu mipango yake lazima itimieMzee hujakaa na hao watu wawili Apm na Rostam. Kichwani wako vizuri pesa imewaongezea nguvu zaidi. Ni ngumu kuaminika na taasisi nyeti kama ni kilaza.
Ebu niambie mkataba gan wa serikali unaoujua ww?Wewe jamaa ni matako kweli na huna akili hata kidogo.
Kwa hiyo kwa vile mimi ni mwanainchi basi ndio sistahili kuuona huo mkataba? Kwa maana hiyo bandari ni mali ya serikali sio mali ya wanainchi tena si ndio?
Kwamba mimi mwanainchi sistahili kujua mipango iliyopo kiundani kuhusu rasilimali za taifa langu, bali nisubiri kuambiwa tu na serikali nini kinaenda kufanyika na nini kimefanyika si ndio??
Wewe ni Mpumbavvu sana, huna akili hata chembe na ndio maana ni mfuasi wa ccm, maana ccm viongozi wake wanapenda mambugira kama wewe.
Endelea kulamba makalio ya mafisadi papa ya ccm huku wewe ukirushiwa makombo, endelea kutetea mkaba wa kimangungo ilihali wanaonufaika nao ni akina Rostam na familia za akina Samia.. na kimburu kama wewe utaendelea kupiga kelele tu hapa mtandaoni ukiwatetea.
Mtu akishakua na power+pesa, lazima aonekane ana akili sababu mipango yake lazima itimhuezi
Inategemea mnashindana kwenye jambo gani. Kuna mambo yapo mengi tu utamshindaNa huez shindan na mwenye pesa labda nawe utafute ndio mshindane .
Vinginevo ni kutafutia ndugu zako tabu .au naongopa mkuu
Kama kipi waeza mshinda ?Inategemea mnashindana kwenye jambo gani. Kuna mambo yapo mengi tu utamshinda
Kimei ana pesa kuliko koola, lakini koola kamshinda kimei mara ya pili hiiKama kipi waeza mshinda ?
Pesa ndio Kila kitu maisha ya saiv
Mwenye pesa haongei Sanaa yaan akiamua kukuekea dau bhc tunakusahau
Yupo na yule muuza ngada ZUNGU NI SPEAKER MSAIDIZIHuyu mhindi tapeli wa mali za umma sahivi ni Katibu Itikadi na uenezi wa CCM?
Umesahau kifo cha ajali ya gari cha mweka hazina wa chama yule mama naniiii?KIKWETE ANAKUAMBIA HUYO MUHUNI NA MUHALIFU NDIYO MZALENDO NO 1 ....KAMA KIFO CHA AJALI YA GARI CHA MTIKILA KINGECHUNGUZWA VIZURI HUYU MTU NA GENGE LAKE LA MAPONJORI WANGEKUWA WATUHUMIWA WA KWANZA.
Mjinga Mama'ko kahaba..Wajinga sana nyie
Inakusaidia nini wewe mlamba mavi ya mafisadi ?Kaka zake rostam wote ni wasomi,wawili kati yao walisomea upailot uingereza
Acha bangi mimi sina shida,ninajiweza vizuri tu,sijawahi kufanya kazi serikalini wala sina chama chochote lakini huo ukoo ni watu naowafahamu tokea utotoni na zaidi ya hapo nimekutana nao nhe ya nchi na tulikuwa tunatembeleana,kama umadikini wako unakusumbua bro fanya kazi,acha majunguInakusaidia nini wewe mlamba mavi ya mafisadi ?
We kweli makalio umesahau thread yako uliyoandika mwaka jana kuwa umestaafu kazi na umeanza maisha nje ya kazi ? au hiyo kazi ulistaafu ushoga ?Acha bangi mimi sina shida,ninajiweza vizuri tu,sijawahi kufanya kazi serikalini wala sina chama chochote lakini huo ukoo ni watu naowafahamu tokea utotoni na zaidi ya hapo nimekutana nao nhe ya nchi na tulikuwa tunatembeleana,kama umadikini wako unakusumbua bro fanya kazi,acha majungu
Mgeni ana kamba mguuni?Tukiachana na hisia RA yuko sahihi polepole pale mbogamboga ni mgeni tu nilishangaa alivyotoa hoja kwamba waziri mkuu na makamu wakistaafu hawatakiwi kugombea kulingana na desturi vipi kuhusu salim,shein,pinda INA maana polepole anaijua CCM kuliko hao
Kama angekua mzalendo na anajali haki basi angekemea kipindi cha magu uminywaji Wa demokrasia na katiba kiujumla hakuna kipindi ambacho katiba ilikanyagwa kama kipindi cha magu
Aliyaona Haya na alishiriki kusifia kwa mbwembwe mzee Wa vieite inafikirisha Leo anachokiongea kama ni kwa maslahi binafsi au kwa sababu yupo nje ya mfumo
kustaafu ndio ila sikufanya kazi ya serikali mimi,nimefanya kazi na international ngo miaka yangu yote lofa wewe,na baadae nimefanya kazi ya kufundisha vyuo vikuu nchini kenya,sasa nipo home nikisimamia maua na bustani,na kufurahia maisha,sihangaiki kama wrwe ambae hata kunya kwenyewe kwa taabu lofa mkubwa weWe kweli makalio umesahau thread yako uliyoandika mwaka jana kuwa umestaafu kazi na umeanza maisha nje ya kazi ? au hiyo kazi ulistaafu ushoga ?