DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,306
- 5,036
DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM
Polepole kawashika pabaya kwani hata Rostam kaongea kwa Uoga uoga anauma na kupuliza anajua kuwa polepole lazima atamjibu na majibu ya polepole ni majibu yatayomvua nguo bora angekaa kimya aacha ccm wenyewe wapambaneMwacheni pole pole atufungue akili
Kumbe songea mjini na Nyasa wagombea ni ndugu na katibu mkuu 😄
Polepole atawakaanga sanaMzee wa DOWANS kaibuka kulinda na kutetea genge lao la ufisadi.
Polepole kabidua dumu la asali, wafyonza asali wameanza kutoka na kukoroma!
Polepole kawashika pabayaPolepole kawabana Mapaimbu, wanatoa milio tu, Yalaaaah!
ROSTAM AZIZI ALIYE POKA HADI KITUO CHA REDIO NA TV NA JANGIRI LA TEMBO NDIYE ANAYE SEMA 🤔🤔.... HII NI DALILI KUWA SASA MKUKI WA WAZALENDO UMEANZA KUMPIGA HADI KAANZA KUTOA UKELELE ...NA BADO HADI GENGE LA MAUAJI ANALO MILIKI LITAKUJA KUJULIKANA ...HUYO NI MMOJA MWENYE MAGENGE YA MAUAJI TOKA ENZI ZA KIKWETE ....WALIMTUNGUA MZUNGU ALIYE KUWA ANAFUATILIA UJANGILI NCHINI WAKAMUUA ...Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Genge la ufisadi na mauaji na genge la raia feki maususi kwa kufanikisha STATE CAPTURE.Mzee wa DOWANS kaibuka kulinda na kutetea genge lao la ufisadi.
Polepole kabidua dumu la asali, wafyonza asali wameanza kutoka na kukoroma!
Utamaduni wa chama ambao polepole ameushikilia si ndiyo itikadi ya chama chenyewe?Labda akanushe kwamba asemayo ni uongo.Hivi Mwalimu angekuwepo mgedhubutu kafanya haya?Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Huyu atatandikwa fimbo moja tu anapotea🤣🤣Huyu ndiye mwenye DP world kwa msiofahamu. Na ndiye mtekaji mkuu.
GambaFisadi Papa!
Nyoka wameanza kujitokeza😂😂😂Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na historia na CCM na kuwa alipewa tu nafasi baada ha uchaguzi mkuu wa 2015, nafasi ambayo Rostam anadai Polepole hakustahili.
Rostam hakuishia hapo Kwani amesema Polepole ni mwana CCM wa Itifaki na Maslahi na sio mwana CCM wa Itikadi na ndio maana anaweza kuhoji maamuzi ya mkutano mkuu ambapo ni kuwatukana wajumbe wote wa mkutano ule.
Una maoni gani kwa Rostam Aziz?
View attachment 3430303
Huyu ni dalali wa DP world, ukitaka kupata nyumba ya kupanga wanazo madalali na wanakula pesa zaidi ya mwenye nyumba.DP kampuni ya Dubai,hutoa huduma sehemu tofauti ikiwemo UK,rostam hajafikia hizo level
Na alichosema rostam ni kweli, polepole hana nasaba na CCM