mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Njaa ni shidaa! Lazima aweke akiba ya manenoHuu ndio ujinga mwengine wa kuacha watu midomo wazi.
Eti wataongelea wahusika, hataki kuongea upande wake na maoni yake kuhusu alichohojiwa. Kukitokea upotoshaji wa upande wa pili atakufa na tai shingoni ile kutetea uanachama wake sio? Yako maradhi kwenye hili taifa sijui yataponywa na mwarubaini gani?