Polepole: Nimeshindwa kutumia Youtube kutokana na 'restrictions'

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Balozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.

Your browser is not able to display this video.

​
 
Sasa kwakuwa vuongozi wetu wengi HAWANA akili, nakushauri bw Pole2 next tym kwenye hiyo press wewe release tu habari yako kimya kimya itasambaa kote nchini kama moto wa kiangazi....muhimu contents ziwe na uzito mkubwa.
Hao wajinga usiwe unawapa taarifa, zitafika tu kwa wazalendo vizuri kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…