Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,689
- 64,737
Bado hujasemaUnajiongelesha hapa nini ww ajuza....sindio mnasapoti utumbo huu. Bata ww
Bado hujasemaUnajiongelesha hapa nini ww ajuza....sindio mnasapoti utumbo huu. Bata ww
Tatizo utopolo na chukiBalozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.
Nitasema ntakapo keketa hicho kism chakoBado hujasema
Jamaa mpumbavu sana
Mungu kaipiga laana press ya PolepoleHakika huyo aliyeblock utube, siyo tu mpumbavu bali ni shetani aliyezoea kumwaga damu za watanganyika. Alaaniwe yeye na ukoo wake wote wa kishetani. Tunaomba laana ya Mungu ikatue kwa huyu wakala wa shetani.
Watu wapo serious Aiseeeee.Na Facebook nayo imepigwa chini daah Sasa ambao tulikuwa na mambo yetu nayo tunashindwa kuingia
Hana press release itakayostaajabisha watu duniani,press iliyostaajabisha Dunia ni ya Kennedy 1963 kufuatia kifo Cha Martin Luther king jr,nilipata elimu kubwa sana kwenye issue hio na kujifunza mengiBalozi Humphrey Polepole ambaye alipanga kufanya mkutano na waandishi wa habari kupitia Zoom Meeting na kushindikana kutokana na changomoto ya kusikilizana, na baadaye alipotaka kutumia YouTube akakumbana 'Restrictions' kama alivyoeleza, akiongea Mbashara kupitia Facebook.
Vipi, kwani amekemea utekaji?Jamaa mpumbavu sana
Jamaa ni akili kubwa tatizo CCM Ina wapumbavu wengi ndiyo maana hawaoni thamani yakeJamaa mpumbavu sana
Hatari sanaFb yenyewe wameshaipiga block hata haifunguki....kumaniner ccm na sa100
Twitter vipi, si angetumia huko piaNa Facebook nayo imepigwa chini daah Sasa ambao tulikuwa na mambo yetu nayo tunashindwa kuingia
na wacuba pia watazifunguaMzee wa cuba anafeli wapi??aweke code wapakistani tuzifungue.
Kennedy Alisema Nini ?Hana presa release itakayostaajabisha watu duniani,press iliyostaajabisha Dunia ni ya Kennedy 1963 kufuatia kifo Cha Martin Luther king jr,nilipata elimu kubwa sana kwenye issue hio na kujifunza mengi