Hewani live / mubashara
View: https://m.youtube.com/watch?v=Aij9cTmDaHw
Kwa maswali mpigie Humphrey Herson Polepole namba ya simu : + 1 305 776 4376 muweze kupata ufafanuzi
Toka maktaba :
18 January 2025
Dodoma, Tanzania
Pre GE2025 - Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, uliofanyika Dodoma, ulitoa wapi agenda ya kumpitsha Samia kuwa mgombea Urais kupitia CCM 2025?
Ili Mkutano Mkuu wa CCM Taifa 2025 uweze kufanyika, ni muhimu kwamba vikao vya chama viwe vimetangulia ili kubaini agenda zitakazozungumziwa. Utaratibu huu ni wa muhimu kwani unahakikisha kwamba kila mjumbe anapata nafasi ya kujadili na kutoa maoni yake kabla ya mkutano mkuu. Mchakato wa...