Polepole: Nimeshindwa kutumia Youtube kutokana na 'restrictions'

Tatizo utopolo na chuki
 
Jamaa mpumbavu sana

Hakika huyo aliyeblock utube, siyo tu mpumbavu bali ni shetani aliyezoea kumwaga damu za watanganyika. Alaaniwe yeye na ukoo wake wote wa kishetani. Tunaomba laana ya Mungu ikatue kwa huyu wakala wa shetani.
 
Mungu kaipiga laana press ya Polepole
 
Hana press release itakayostaajabisha watu duniani,press iliyostaajabisha Dunia ni ya Kennedy 1963 kufuatia kifo Cha Martin Luther king jr,nilipata elimu kubwa sana kwenye issue hio na kujifunza mengi
 
Watz kwa kupenda umbea alaf wanajificha kwenye kivuli Cha uzalendo
 
Watz kwa kupenda umbea alaf wanajificha kwenye kivuli Cha uzalendo
 
Asijaribu kutumia JF,
Kwa sababu sasa hivi wamekuwa washirika na serikali.
IP Address yake itaonekana - na atajulikana alipo
 
Hana presa release itakayostaajabisha watu duniani,press iliyostaajabisha Dunia ni ya Kennedy 1963 kufuatia kifo Cha Martin Luther king jr,nilipata elimu kubwa sana kwenye issue hio na kujifunza mengi
Kennedy Alisema Nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…