Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Wakati Polepole na Ngwajima wanaaanza kuzungumzaa nilidhani wana plan. Ila muda unavyosonga nimegundua hawana plan na bahati mbaya nguvu huwa mwanzo katikati na mwisho Watanzania huanza kupoa. Hata mimi mwanzo nilikuwa full kumfuatilia siku hizii nasuasua. Nimegundua hawana plan au kama ilikuwepo haikwenda kama inavyotakiwa.Nakuomba tena Mama,itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu,kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.Nakuomba tena Mama,itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu,kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Nataka sitaki inaitwa😂Aongee tu. Anaficha ficha ili iweje?
Kaeni kwa kutulia.. Atakapotoa bomu msitafutaneMikwara mingi
Wamefika waneKuna watumishi wawili kwa nyakati tofauti week ilivyo iliyopita walisema BENDERA ITAPEPEA NUSU MLINGOTI
Huoni mtiririko? Ina maana hao wawili wapo front ila behind the scene wapo wengi, unawajua?Wakati Polepole na Ngwajima wanaaanza kuzungumzaa nilidhani wana plan. Ila muda unavyosonga nimegundua hawana plan na bahati mbaya nguvu huwa mwanzo katikati na mwisho Watanzania huanza kupoa. Hata mimi mwanzo nilikuwa full kumfuatilia siku hizii nasuasua. Nimegundua hawana plan au kama ilikuwepo haikwenda kama inavyotakiwa.
Tukija stuka tupo oktoba 29 jioniMikwara mingi
Waseme ni nani atakufa, hizi tabiri zilizo wazi zinatengeneza backdoorKuna watumishi wawili kwa nyakati tofauti week ilivyo iliyopita walisema BENDERA ITAPEPEA NUSU MLINGOTI
Siasa ni sayansi 😂😂Tukija stuka tupo oktoba 29 jioni