Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Polepole anamtetea mchimbi hata sisiem yenyewe wanamtaka m himbi ndio awe mgonbea urais rasmi sio mama.
Ni vile basi tuu wamechutama aibu ila rohoni hawapo kabisa na mama
 
Wakati Polepole na Ngwajima wanaaanza kuzungumzaa nilidhani wana plan. Ila muda unavyosonga nimegundua hawana plan na bahati mbaya nguvu huwa mwanzo katikati na mwisho Watanzania huanza kupoa. Hata mimi mwanzo nilikuwa full kumfuatilia siku hizii nasuasua. Nimegundua hawana plan au kama ilikuwepo haikwenda kama inavyotakiwa.
Wewe subiri hadi Oktoba uone kama utafika Ili ukatiki✅

Hamtafika na sahauni kabisa upuuzi wenu wa eti, tutatiki..

Unakuja upepo mkali utakaozima kila ndoto na plan zenu chafu mpaka hamtaamini..🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Jamaa si waku mpuuzia mle ndani ya chama kuna watu wapo nyuma ake achana na gwajimaaaa yy ni chawa wa polepole
 
Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Huyu nae Aache kutishia Nyau tangu aongee hakuna kilichobadilika hajistukii tu akachana Na live zake
 
Nakuomba tena Mama, itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu, kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM, waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Mkwala mbuzi😀😀...Anatishia nyau, Kama ameamua kufunguka amwage tu mboga...Hizo episode zake zishaisha utamu.
 
Alijaribu kugusia kifo cha JPM kama sehemu ya mkakati lakini hilo lilifeli... alilobakiza ni kusema CCM inaiba kura yakati za uchaguzi - ambalo pia linajulikana (na pengine na yeye kusema aliiba 2015 ila hawezikusem aaliiba 2020) - ukifanya speculations unaona mkakati wao hawa jamaa ni butu kiasi (Maneno mengi), wanajaribu kulalia kwa TAL ili kumobilize umma, wanaCDM nao wamewastukia.... Ngoja tuone kesho atakuja na lipi zito nje na haya yanayoweza kuwa speculated.
Tusimdharau mtu aliyepita CUBA kimaisha.
 
Huyo naye anakosea hatakiwa kuwaandaa, anatakiwa awafanyie shambulizi la kushtukiza hadi waanze kukataana
 
Kaeni kwa kutulia.. Atakapotoa bomu msitafutane
Na kweli, maana bomu alipolitoa Gwajiboi, wakafungia kanisa...!! Polepole alipoanza, wakafungia FB, sasa tunakoelekea sijui watufunga nini...!!! Na huku ukatolikini kwetu twaendelea na Novena, nao siku tukilipuka, na endapo kila kona kutakuwa na mlipuko, hawatajua wauzime upi na wauache upi...!!! Time will tell..!! Mzaha mzaha hutumbua usaha..!!
 
Wakati Polepole na Ngwajima wanaaanza kuzungumzaa nilidhani wana plan. Ila muda unavyosonga nimegundua hawana plan na bahati mbaya nguvu huwa mwanzo katikati na mwisho Watanzania huanza kupoa. Hata mimi mwanzo nilikuwa full kumfuatilia siku hizii nasuasua. Nimegundua hawana plan au kama ilikuwepo haikwenda kama inavyotakiwa.
Na hili ndilo tatizo la wabongo wengi. Hupenda kukaa kwenye viti sebuleni huku wakifuatilia mambo yanayohitaji wao wayafanye kama sinema. Ndugu yangu wee, hata kusema ukweli hadharani bila kuogopa ni plan nzuri. Wewe unataka kufanyiwa kazi inayohitaji kila mtu?
 
Naona the deep rooted deep state inajaribu kutuma ujumbe Kwa fake deep state tunayoihisi!

Nataka nione mambo nitakayohadithia wajukuu zangu wote!!

KAZI na utu tunasongambele!!

Mitano tena Kwa chama kusudiwa kushika dola!!
 
Shida ni kwamba jamaa wanasonga mbele na mambo yao
Kweli kabisa lakini nafsi zao zinawasuta, hii vuguvugu sio ya kitoto na wanajua walichokifanya sio sahihi lakini wakilegeza tu wataonekana wadhaifu bora wakaze
 
Back
Top Bottom