Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Mikwala mingi sana, kipimo cha afya ya akili kinakuhusu.Nakuomba tena Mama,itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu,kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Umri wako please? Au ni wale wale unatongoza Leo, unajibiwa leo, na kut#@#@ Leo?Mikwala mingi sana,kipimo cha afya ya akili kinakuhusu.
Aache vitisho vya nyau... SSH na JK walishalikoroga... kama ana dawa aweke hadharani!Nakuomba tena Mama,itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu,kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
TunasubiriNakuomba tena Mama,itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu,kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Haka kehu nako kanatupotezea muda tu. amshukuru mama ni muungwana mana kipindi cha jpm wakosoaji kamahawa wote walikula shaba.Nakuomba tena Mama,itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu,kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Chakubanga na wewe unaongea sana maneno ambayo hayana uzito na ndiyo wanazidi kukupotezea, fanya kweli piga kwenye mshono kabisa siyo unapapasa papasa tu.Nakuomba tena Mama,itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu,kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Sure 100%Wakati Polepole na Ngwajima wanaaanza kuzungumzaa nilidhani wana plan. Ila muda unavyosonga nimegundua hawana plan na bahati mbaya nguvu huwa mwanzo katikati na mwisho Watanzania huanza kupoa. Hata mimi mwanzo nilikuwa full kumfuatilia siku hizii nasuasua. Nimegundua hawana plan au kama ilikuwepo haikwenda kama inavyotakiwa.
Alijaribu kugusia kifo cha JPM kama sehemu ya mkakati lakini hilo lilifeli... alilobakiza ni kusema CCM inaiba kura yakati za uchaguzi - ambalo pia linajulikana (na pengine na yeye kusema aliiba 2015 ila hawezikusem aaliiba 2020) - ukifanya speculations unaona mkakati wao hawa jamaa ni butu kiasi (Maneno mengi), wanajaribu kulalia kwa TAL ili kumobilize umma, wanaCDM nao wamewastukia.... Ngoja tuone kesho atakuja na lipi zito nje na haya yanayoweza kuwa speculated.CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Ila anatusaidia sana kuwapa pressure mpaka hawalaliAlijaribu kugusia kifo cha JPM kama sehemu ya mkakati lakini hilo lilifeli... alilobakiza ni kusema CCM inaiba kura yakati za uchaguzi - ambalo pia linajulikana (na pengine na yeye kusema aliiba 2015 ila hawezikusem aaliiba 2020) - ukifanya speculations unaona mkakati wao hawa jamaa ni butu kiasi (Maneno mengi), wanajaribu kulalia kwa TAL ili kumobilize umma, wanaCDM nao wamewastukia.... Ngoja tuone kesho atakuja na lipi zito nje na haya yanayoweza kuwa speculated.
Nakuomba tena Mama,itisha mchakato halali wa kumpata mgombea Urais wa CCM na awe mpya fresh mwenye nguvu,kama hautafanya hivyo Nitaongea vile visivyostahili ndani ya CCM,waulize CCM hivi Polepole anajua chochote ndani ya CCM kinachoweza kutikisa Chama!? Watakwambia.
Alijaribu kugusia kifo cha JPM kama sehemu ya mkakati lakini hilo lilifeli... alilobakiza ni kusema CCM inaiba kura yakati za uchaguzi - ambalo pia linajulikana (na pengine na yeye kusema aliiba 2015 ila hawezikusem aaliiba 2020) - ukifanya speculations unaona mkakati wao hawa jamaa ni butu kiasi (Maneno mengi), wanajaribu kulalia kwa TAL ili kumobilize umma, wanaCDM nao wamewastukia.... Ngoja tuone kesho atakuja na lipi zito nje na haya yanayoweza kuwa speculated.
Plan zote za utekaji atazianika wazi ili umma ujue mhusika mkuu