Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

Polepole anamtetea mchimbi hata sisiem yenyewe wanamtaka m himbi ndio awe mgonbea urais rasmi sio mama.
Ni vile basi tuu wamechutama aibu ila rohoni hawapo kabisa na mama
 
Wewe subiri hadi Oktoba uone kama utafika Ili ukatiki✅

Hamtafika na sahauni kabisa upuuzi wenu wa eti, tutatiki..

Unakuja upepo mkali utakaozima kila ndoto na plan zenu chafu mpaka hamtaamini..🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Jamaa si waku mpuuzia mle ndani ya chama kuna watu wapo nyuma ake achana na gwajimaaaa yy ni chawa wa polepole
 
Huyu nae Aache kutishia Nyau tangu aongee hakuna kilichobadilika hajistukii tu akachana Na live zake
 
Mkwala mbuzi😀😀...Anatishia nyau, Kama ameamua kufunguka amwage tu mboga...Hizo episode zake zishaisha utamu.
 
Tusimdharau mtu aliyepita CUBA kimaisha.
 
Huyo naye anakosea hatakiwa kuwaandaa, anatakiwa awafanyie shambulizi la kushtukiza hadi waanze kukataana
 
Kaeni kwa kutulia.. Atakapotoa bomu msitafutane
Na kweli, maana bomu alipolitoa Gwajiboi, wakafungia kanisa...!! Polepole alipoanza, wakafungia FB, sasa tunakoelekea sijui watufunga nini...!!! Na huku ukatolikini kwetu twaendelea na Novena, nao siku tukilipuka, na endapo kila kona kutakuwa na mlipuko, hawatajua wauzime upi na wauache upi...!!! Time will tell..!! Mzaha mzaha hutumbua usaha..!!
 
Anambembeleza kwa lipi?
Yeye aendelee kumwaga mboga tu!
 
Na hili ndilo tatizo la wabongo wengi. Hupenda kukaa kwenye viti sebuleni huku wakifuatilia mambo yanayohitaji wao wayafanye kama sinema. Ndugu yangu wee, hata kusema ukweli hadharani bila kuogopa ni plan nzuri. Wewe unataka kufanyiwa kazi inayohitaji kila mtu?
 
Naona the deep rooted deep state inajaribu kutuma ujumbe Kwa fake deep state tunayoihisi!

Nataka nione mambo nitakayohadithia wajukuu zangu wote!!

KAZI na utu tunasongambele!!

Mitano tena Kwa chama kusudiwa kushika dola!!
 
Shida ni kwamba jamaa wanasonga mbele na mambo yao
Kweli kabisa lakini nafsi zao zinawasuta, hii vuguvugu sio ya kitoto na wanajua walichokifanya sio sahihi lakini wakilegeza tu wataonekana wadhaifu bora wakaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…