Polepole: Nitaongea visivyostahili vinavyofanyika ndani ya CCM na Chama kitateteleka

Usije ikakimbia au kubadili ID tutakoptiki Oktoba 29
 
Duh aiseee

Ova
 
A
Cha kuremba kama demu anayetongozwa! Sema yote tujue tunamalizana vp na Hawa kijani.
 
Tusimdharau mtu aliyepita CUBA kimaisha.
So far plan zake haziendi vizuri; labda hayo mabomu ambayo hajayasema... lakini sidhani kwa nchi yetu hii harakati za kuongea umejificha mtandaoni kama ina tija... bora mpina kakngia field japo anasemekana ni pandikizi...sio rahisi kuitikisa CCM kwa kusema mtandaoni ukimaliza unaenda kulala
 
Sisi wazalendo tutatick lile jina ambalo jamhuri itakua na Imani nalo tutiki!!

Coz Kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe na niwe mwanachama wa ccm,Nimehisi Jamhuri ya Tanzania no kubwa kuliko CCM na mwenyekiti wake na serikali pia kupitia pole pole Humphrey!

Madhara ya jamuhuri kudogoshwa na kuwa sisimizi mbele ya CCM na mwenyekiti wake ni makubwa mno Hadi kwenye DNA ya wazawa wa jana Leo na kesho na itachukua muda mrefu sana kupata nasaba ya ukubwa wa Jamuhuri ya Tanzania kuliko CCM na mwenyekiti!!

Namshukuru Mungu juu ya uhai wa pole pole na unit ya siri inayomlinda popote alipo!

NATAMANI KUFANYA KAZI KWA UKARIBU NA HUMPHREY POLEPOLE KUNA MENGI NITAJIFUNZA ANAONEKANA NI FULL PACKAGE!!

KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE!
 
Reactions: Ame
Bomu la jana ni kubwa sana,NEC imeunganishwa na NIDA,kila mwenye NIDA kapiga kura! Khaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ