Polepole pigania mfumo! Dada yako kutekwa ni maelezo tosha!. Wewe ulikuwa mwenezi badala ya kupigania kubadilisha wahuni unatakiwa kupigania mfumo mzima wa nchi ili Dada, Kaka, Mama, na ndugu yeyote asiweze kutekwa kwasababu tu ya mawazo yake. Makanisa yasifungwe kwa kukasirisha watu hata maka maadili yako sawa. Upinzani wasifungwe tu kwasababu wanapinga wahuni ambao unaongelea. Sasa tatizo lako bado unapigania watu wazuri ndani ya chama chako badala ya mfumo. Bila kuwa na mfumo wahuni watakuwepo kila siku. Leo wanateka kesho watauwa kabisa hata CCM wenzao!!.
Hivyo bila haya ungana na wakina warioba na kupigania uhuru na haki kwa wote badala ya kujikita na taratibu za ndani ya chama ambacho kimesha oza Bila hivi tutakuona kama chakubanga tu ndugu Polepole
Hivyo bila haya ungana na wakina warioba na kupigania uhuru na haki kwa wote badala ya kujikita na taratibu za ndani ya chama ambacho kimesha oza Bila hivi tutakuona kama chakubanga tu ndugu Polepole