Polepole: Polisi walisema Mzee Mangula alilishwa sumu, waulizwe uchunguzi uliishia wapi?

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Humphrey Polepole ameibua tena sakata la kupewa Sumu kwa aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Philip Mangula ambapo amemtaka aliyekuwa Kamanda wa Polisi Kanda ya Dar es Salaam wakati huo, Lazaro Mambosasa kueleza umma nani alifanya tukio hilo.

Amesema matukio ya Viongozi kudhurika yaliwahi kujadiliwa hadi kwenye Vikao vya Kamati Kuu ya CCM lakini anashangaa kwanini Katibu Mkuu wa CCM hazungumzi kuhusu hilo wakati linaweza kusaidia kuibua uchunguzi wa sababu za Kifo cha Rais Magufuli.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu nae watanzania washa mdharau msapotini nyie juzi anadai gesi efu Mbili Cuba haija pita mwezi wacuba wakaandamana maisha magumu sasa unajiuliza nia ya huyu jamaa ni ipi?
 
Hata uchunguzi wa tukio la shambulio la Dr Kitima ndiyo imeisha hivyo!!
 
Petro Magoti ndiye alitumika kumuwekea sumu mzee Mangula aulizwe nani alimtuma
 
Huyu nae watanzania washa mdharau msapotini nyie juzi anadai gesi efu Mbili Cuba haija pita mwezi wacuba wakaandamana maisha magumu sasa unajiuliza nia ya huyu jamaa ni ipi?
Kwani gas ikiwa elf 2 ndio inaamanisha kuwa maisha rahisi?toa akili matakoni irudishe kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…