Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Humphrey Polepole amesema kwa utamaduni, desturi na katiba ya Chama cha Mapinduzi, Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa mwendokasi huu.