Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hata mie nashangaa, Waoga sana!!!Nilikua za gu youtube nashangaa imekata ghafla
Kheri raia mwema asemaye bila unafiki na mkweli, kuliko balozi apigaye makofi ya unafiki kutetea mkono kwenda kinywani!!Kwa hii kauli, kesho anavuliwa hadhi ya ubalozi
Jamaa anatuona kama wote ni mazwazwa.Kwa hii kauli, kesho anavuliwa hadhi ya ubalozi
Na siku akifanya hivyo tu ...hicho ndo kinatafutwa kwakeBibi chaudere yuko anamlia doria tuu siku sio nyingi lazima atakuja kumjibu kwa taarabu na vijembe kama kawaida