Mr.Slowslow bado anapambana .Humphrey Polepole amesema kwa utamaduni, desturi na katika ya Chama cha Mapinduzi Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa mwendokasi huu.
Polepole wa enzi za JPM angeambiwa kuna kipindi na yeye atakuwa mafichoni asingeamini katu.Mpaka hapo naamini kuna watu wakubwa wapo nyuma yake. Hofu yangu wasije kumkimbia tu akageuka nyuma akakuta hawapo. Hapo inabidi asubiri mpaka Lissu awe Rais ndio arudi kwao
Ndio anaruhusiwa kabisaHivi katiba yetu inasemaje kuhusu makamu wa raisi akimaliza miaka 10 anaruhusiwa kugombea?
Hilo ndio unalojali wewe!Kwa hii kauli, kesho anavuliwa hadhi ya ubalozi
Heri yeye anayebwabwaja kuliko ww ambae hujui hata unachokitaka ni nnHuyu anabwabwaja tu sasa
Basi kama katiba inamruhusu, hajakosea kugombea awamu hii, hapo bwana polepole siko pamoja nae.Ndio anaruhusiwa kabisa
Anaruhusiwa.Hivi katiba yetu inasemaje kuhusu makamu wa raisi akimaliza miaka 10 anaruhusiwa kugombea.
Kwani wale walikua ni wajumbe au waimba mapambio tuKwenye CCM hiyo imeandikwa wapi?
Kama haijaandikwa basi ni maoni binafsi tu ya Polepole na kila mwanaCCM ana maoni yake
Ina maana wale wajumbe zaidi ya 1000 pale Dodoma hilo walikuwa hawalijui au analijua Polepole tu?
Basi hoja yake, haina nguvuAnaruhusiwa.
Umeona ee?!! Kanageuka kituko siku baada ya siku. Eti ndo think tank la chadema kwa Sasa🤣🤣🤣🤣🤣Polepole bora angetulia tu
Kwahiyo wewe unataka kubwabwaja tu pole sanaHeri yeye anayebwabwaja kuliko ww ambae hujui hata unachokitaka ni nn
Hawa kina Pole Pole ndio wale ambao Meja Jenerali Mabeyo alihakikisha wanaufyata mkia kipindi kile JPM ameaga dunia.Humphrey Polepole amesema kwa utamaduni, desturi na katiba ya Chama cha Mapinduzi, Rais Samia hatakiwi kupeperusha bendera ya CCM kipindi hiki kwa msingi kuwa amekuwa Makamu wa Rais, Mungu akampromote kuwa Rais, tunapokwenda kubadilisha awamu tunakwenda kusema tumewaletea hawa, tutakimbia kwa mwendokasi huu.
Atulie alafu?Polepole bora angetulia tu