Polepole: Ripoti za CAG zinakwenda kwa watu, watu wanauliza mbona hatua hatuchukui? Na mbona chama kimekaa kimya?

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Humphery Polepole ameeleza kuwa ripoti za CAG zinaeleza vitu vibaya na zinakwenda kwa watu na watu wanauliza mbona hatua hazichukuliwi na chama kimekaa kimya?

"Ningewachambulia hapa ripoti za mkaguzi na mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali namna zinasema manenomabaya. Hizi ripoti zinakwenda kwa watu, watu wanauliza mbona hatua hatuchukui na mbona chama kimekaa kimya?" -Humphrey Polepole
 
View attachment 3409794
Swali la msingi sana
 
Back
Top Bottom