Polepole,Sauti ya Wananchi na Gwajima ndio wanazuia kupatikana muafaka wa kitaifa

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi.

Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule tulikotoka.
Ishara zote zinaonyesha kwamba Uchaguzi utakuwa wa amani.

Kukosekana kwa washindani wengine katika Uchaguzi,ni jambo ambalo linaleta ukakasi.

Sasa kama watu wanaogopa kupingwa na rungu kiasi kwamba wanasusia Uchaguzi,inafaa Serikali ingejitahidi kuwaondoa hofu watu hawa.

Uchaguzi unaweza kufanyika kwa amani. Matatizo yanatokea, confused people wanafikiria kudumisha amani ni lazima wafanye ukatili mkubwa sana.

Amani katika Uchaguzi bila ukatili inawezekana.

Election violence ni recent phenomenon,zamani haikuwepo.
 
Too much brainstorming.
Hakuna enlightened person mmoja tu to guide the people.
 
Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi.

Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule tulikotoka.
Ishara zote zinaonyesha kwamba Uchaguzi utakuwa wa amani.

Kukosekana kwa washindani wengine katika Uchaguzi,ni jambo ambalo linaleta ukakasi.

Sasa kama watu wanaogopa kupingwa na rungu kiasi kwamba wanasusia Uchaguzi,inafaa Serikali ingejitahidi kuwaondoa hofu watu hawa.

Uchaguzi unaweza kufanyika kwa amani. Matatizo yanatokea, confused people wanafikiria kudumisha amani ni lazima wafanye ukatili mkubwa sana.

Amani katika Uchaguzi bila ukatili inawezekana.

Election violence ni recent phenomenon,zamani haikuwepo.

GyKOivhXQAE3X-h.jpeg
 
Oh,mpumbavu.
Certainly. Sitaki watu wakae selo waseme,tuko hapa kwa sababu tulimsikiliza Andrew.
kunaitwa selo kwasababu wanakaa watu. unamtisha nani? kwamba kwakuwa kuna selo ndo watu waunge mkono ujinga wako
twambie hapa nani alishawahi kusema ataandamana kuzuiaya uchaguzi? na hata kama maandamano si ni halali kwa mujibu wa sheria za nchi?
 
Kwa kuwa kasema mama anapiga stori na lijamaa limekunja nne kama chumbani kwake ndio inazuia muafaka?

Haipendezi kufanyika jumba jeupe ujue...
 
Kwanini serikali iwaondolee hofu wananchi ikiwa hofu hiyo inairahisishia serikali kuwatawala watu hao?

Kamwe CCM kwa hiyari yake hawatokuja kufanya reforms zozote zitakazohatarisha wao kushika dola.

Kama kizazi hiki hawana ujasiri basi tukae kwa kutulia na tutawaliwe tu na CCM. Labda huko mbele watazaliwa watu wanaojielewa watajikomboa wenyewe.
 
Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi.

Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule tulikotoka.
Ishara zote zinaonyesha kwamba Uchaguzi utakuwa wa amani.

Kukosekana kwa washindani wengine katika Uchaguzi,ni jambo ambalo linaleta ukakasi.

Sasa kama watu wanaogopa kupingwa na rungu kiasi kwamba wanasusia Uchaguzi,inafaa Serikali ingejitahidi kuwaondoa hofu watu hawa.

Uchaguzi unaweza kufanyika kwa amani. Matatizo yanatokea, confused people wanafikiria kudumisha amani ni lazima wafanye ukatili mkubwa sana.

Amani katika Uchaguzi bila ukatili inawezekana.

Election violence ni recent phenomenon,zamani haikuwepo.
Kuna watu walisema wataandamana,kuleta fuyo na kujilaza barabarani kwani?
 
Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi.

Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule tulikotoka.
Ishara zote zinaonyesha kwamba Uchaguzi utakuwa wa amani.

Kukosekana kwa washindani wengine katika Uchaguzi,ni jambo ambalo linaleta ukakasi.

Sasa kama watu wanaogopa kupingwa na rungu kiasi kwamba wanasusia Uchaguzi,inafaa Serikali ingejitahidi kuwaondoa hofu watu hawa.

Uchaguzi unaweza kufanyika kwa amani. Matatizo yanatokea, confused people wanafikiria kudumisha amani ni lazima wafanye ukatili mkubwa sana.

Amani katika Uchaguzi bila ukatili inawezekana.

Election violence ni recent phenomenon,zamani haikuwepo.
Nisawa na unajitekenya ili ucheke

Competing against yourself
 
Back
Top Bottom