Usiwawekee maneno yako midomoni mwao! Hawajasema hayo.
Siku hiyo manjagu wasijekuweka vifaru,farasi barabarani eti wanalinda uchaguzi! Dunia itazidi kuwashangaaa.
Ila kwenye vituo vya kupigia kura itabidi serikali ienda polini kubeba ngedere na nyani waje kupanga foleni ya kupiga kura!