Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Oh,mpumbavu.mpumbavu wewe
Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi.
Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule tulikotoka.
Ishara zote zinaonyesha kwamba Uchaguzi utakuwa wa amani.
Kukosekana kwa washindani wengine katika Uchaguzi,ni jambo ambalo linaleta ukakasi.
Sasa kama watu wanaogopa kupingwa na rungu kiasi kwamba wanasusia Uchaguzi,inafaa Serikali ingejitahidi kuwaondoa hofu watu hawa.
Uchaguzi unaweza kufanyika kwa amani. Matatizo yanatokea, confused people wanafikiria kudumisha amani ni lazima wafanye ukatili mkubwa sana.
Amani katika Uchaguzi bila ukatili inawezekana.
Election violence ni recent phenomenon,zamani haikuwepo.
kunaitwa selo kwasababu wanakaa watu. unamtisha nani? kwamba kwakuwa kuna selo ndo watu waunge mkono ujinga wakoOh,mpumbavu.
Certainly. Sitaki watu wakae selo waseme,tuko hapa kwa sababu tulimsikiliza Andrew.
Kwa kuwa kasema mama anapiga stori na lijamaa limekunja nne kama chumbani kwake ndio inazuia muafaka?
Haipendezi kufanyika jumba jeupe ujue...
Who is Andrew!Oh,mpumbavu.
Certainly. Sitaki watu wakae selo waseme,tuko hapa kwa sababu tulimsikiliza Andrew.
Ganesh?Andrew,that's me, Andrew Nyerere.
Kuna watu walisema wataandamana,kuleta fuyo na kujilaza barabarani kwani?Watu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi.
Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule tulikotoka.
Ishara zote zinaonyesha kwamba Uchaguzi utakuwa wa amani.
Kukosekana kwa washindani wengine katika Uchaguzi,ni jambo ambalo linaleta ukakasi.
Sasa kama watu wanaogopa kupingwa na rungu kiasi kwamba wanasusia Uchaguzi,inafaa Serikali ingejitahidi kuwaondoa hofu watu hawa.
Uchaguzi unaweza kufanyika kwa amani. Matatizo yanatokea, confused people wanafikiria kudumisha amani ni lazima wafanye ukatili mkubwa sana.
Amani katika Uchaguzi bila ukatili inawezekana.
Election violence ni recent phenomenon,zamani haikuwepo.
Mtoto wa wa kwanza wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Mkongwe humu Jamii forumWho is Andrew!
Nisawa na unajitekenya ili uchekeWatu wanaamini kwamba tarehe 29 Oktoba,wataandamana watabeba bakora,watarusha mawe, halafu eti watazuia Uchaguzi.
Watu wanaongea kuhusual maandamano,kuhusu civil disobedience; tutarudi kule kule tulikotoka.
Ishara zote zinaonyesha kwamba Uchaguzi utakuwa wa amani.
Kukosekana kwa washindani wengine katika Uchaguzi,ni jambo ambalo linaleta ukakasi.
Sasa kama watu wanaogopa kupingwa na rungu kiasi kwamba wanasusia Uchaguzi,inafaa Serikali ingejitahidi kuwaondoa hofu watu hawa.
Uchaguzi unaweza kufanyika kwa amani. Matatizo yanatokea, confused people wanafikiria kudumisha amani ni lazima wafanye ukatili mkubwa sana.
Amani katika Uchaguzi bila ukatili inawezekana.
Election violence ni recent phenomenon,zamani haikuwepo.
Njegere mjukuu comedian au author?Andrew,that's me, Andrew Nyerere.