Polepole: Siku ya uzinduzi wa kiwanda huko Morogoro kulikuwa na mazingira "strange". Je, hayo ni mazingira yapi?

Polepole: Siku ya uzinduzi wa kiwanda huko Morogoro kulikuwa na mazingira "strange". Je, hayo ni mazingira yapi?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Polepole amendelea kutufumbua macho.

Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale!

Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe?

"Wanasomeka Polepole na Gwajima kuwa kuna serikali ndani ya serikali."

Yote tisa haya mambo strange, anayodokeza Polepole yanaweza kuwa mambo gani?
 
Pole pole ni day dreamer, atajikuta ananya. Mpa hadharani akijua yuko toilet
 
Bila shaka kama hili shiembe ni moja lao
kuna kesi ililetwa humu wakati flani...

mkinga mmoja aliingia kwenye anga za salaa, mdogo wake GSM...

kilichotokea, salaa alituma watu wa usalama wa taifa kumtisha yule mkinga...

kwahiyo mkinga akapigwa mkwala na watu waliotakiwa kumlinda kikatiba...

hao ndio wana usalama tunaojivunia sisi.
 
Ukweli lazima usemwe hata kama mbingu zitaporomoka kutoka juu

Si ungetuambia mazingira hayo strange? Pana haja ya masalia ya miili ya Jiwe na hata Membe kuhakikiwa na watalaamu wabobezi.

Ni dhahiri wahuni si watu wazuri!
 
Polepole amendelea kutufumbua macho.

Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale!

Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe?

"Wanasomeka Polepole na Gwajima kuwa kuna serikali ndani ya serikali."

Yote tisa haya mambo strange,1 anayodokeza Polepole yanaweza kuwa mambo gani?
Polepole anawajua wauaji wote wa CCM sababu amefanya nao kazi
 
kuna kesi ililetwa humu wakati flani...

mkinga mmoja aliingia kwenye anga za salaa, mdogo wake GSM...

kilichotokea, salaa alituma watu wa usalama wa taifa kumtisha yule mkinga...

kwahiyo mkinga akapigwa mkwala na watu waliotakiwa kumlinda kikatiba...

hao ndio wana usalama tunaojivunia sisi.

Kama hawa jamaa wametuchezesha ngoma 2015 kumbe wameweka mgombea wao pia upinzani bila kushukiwa nini kinawasimamisha watu hawa?

IMG_20250823_151128.jpg

Kwamba pangekuwa ana usalama wapi?

Jitihada za kuikomboa nchi hii sasa haziwezi kuendekeza maoni mgando ya mpumbavu yeyote ajijuaye au asiyejijua. Hili ni jukumu halali la watanzania wazalendo wote!

chiembe, JokaKuu:

Au nasema uongo?
 
Veronica France alisema katika kile kiwanda Magufuli alivuta hewa ya sumu. Yaani katika kile kiwanda cha Rostam, Magufuli alivuta hewa ya sumu ikamdhiru afya.
Kumdhuru afya sijui ina maana gani. Labda alipotika Morogoro aliugua,akatibiwa,halafu ndio akafanya ziara ya Dar.
Bado hatujaona ushahidi wa kufungua kesi dhidi ya mtu yeyote.

Zaidi tunaweza tu kusema kama Magufuli alisema anataka watu fulani wafungwe,hao watu hawakusukitika sana alipofariki
 
Kama alivuta hewa ya sumu vipi wengine waliokuwa pale?

Inavyoonekana angalau alimwambia Polepole kuwa ameshanasa au Polepole aliyaona mazingira hayo kuyaongelea kwa uthabiti hiyo.

Kufungua kesi? Kina Nassoro wataacha kuwa kwenye payroll za wanye network yao?
 
Back
Top Bottom