Ukitaja neno wanausalama , ni kama unaongelea nchi zilizoendelea bwashee 😅Wanausalama walikuwa compromised??
hii nchi tuna wachumia tumbo wanaohakikisha matajiri wako swalama...Ukijata neno wanausalama , ni kama unaongelea nchi zilizoendelea bwashee 😅
kuna kesi ililetwa humu wakati flani...Bila shaka kama hili shiembe ni moja lao
Ukweli lazima usemwe hata kama mbingu zitaporomoka kutoka juu
unataka kusema akina Chieembe au?hii nchi tuna wachumia tumbo wanaohakikisha matajiri wako swalama...
Polepole anawajua wauaji wote wa CCM sababu amefanya nao kaziPolepole amendelea kutufumbua macho.
Kumbe hata mamvi ilikuwa ni plan B ya watu wale wale!
Kwamba Polepole kanusurika kutekwa akiwa chini ya uangalizi wa Jiwe?
"Wanasomeka Polepole na Gwajima kuwa kuna serikali ndani ya serikali."
Yote tisa haya mambo strange,1 anayodokeza Polepole yanaweza kuwa mambo gani?
kuna kesi ililetwa humu wakati flani...
mkinga mmoja aliingia kwenye anga za salaa, mdogo wake GSM...
kilichotokea, salaa alituma watu wa usalama wa taifa kumtisha yule mkinga...
kwahiyo mkinga akapigwa mkwala na watu waliotakiwa kumlinda kikatiba...
hao ndio wana usalama tunaojivunia sisi.
Akina lucas mwashambwa na choice variables!hii nchi tuna wachumia tumbo wanaohakikisha matajiri wako swalama...
Veronica France alisema katika kile kiwanda Magufuli alivuta hewa ya sumu. Yaani katika kile kiwanda cha Rostam, Magufuli alivuta hewa ya sumu ikamdhiru afya.
Kumdhuru afya sijui ina maana gani. Labda alipotika Morogoro aliugua,akatibiwa,halafu ndio akafanya ziara ya Dar.
Bado hatujaona ushahidi wa kufungua kesi dhidi ya mtu yeyote.
Zaidi tunaweza tu kusema kama Magufuli alisema anataka watu fulani wafungwe,hao watu hawakusukitika sana alipofariki
Possibly mkuu. Dola ni tamu na inathamqni kuliko madafuWanausalama walikuwa compromised??
Kwa Hoja Gani ulizonazo za kushushua Mbingu!,?Hata nzi hashuki!Ukweli lazima usemwe hata kama mbingu zitaporomoka kutoka juu