Polepole: Siku ya uzinduzi wa kiwanda huko Morogoro kulikuwa na mazingira "strange". Je, hayo ni mazingira yapi?


Mkuu kila kitu kinachofanyika hapa Nchini TISS watajua, Na watafile mahali, Hakunaga tu mtu wa kushughurikia hizo Reports.

lakini najua Walio kua Top TISS officila wanajua kilichotokea, Siku akipatikana wa kushughurika na hizo reports utaskia to rostam yuko ndani.

Au umesahau ya Manji na JPM, Haikua kwa bhati mbaya Hawa watu wana report chafu sana
 
Possibly mkuu. Dola ni tamu na inathamqni kuliko madafu

Kwamba wanamtandao wana watu hadi upinzani kiasi waliweza ingiza wangombea wao bila mtu kustuka. Kipi kitawasimamisha hao?

All all nini kilitokea Morogoro kama asemavyo Polepole?
 
My be the poison was put to the mic.
 
My be the poison was put to the mic.

Hapo sasa swali msingi kuwa kitu gani strange huoni kuwa litakuwa limeyeyuka?

Kwa maelezo thabiti yale, yaonesha palikuwa na jambo la wazi hapo. Hauoni hivyo mkuu.
 

Mkuu hao mabwana wanachukua hatua gani kama uwezekano wa mtu wa kuweza kushughulikia yakiwamo hayo wanazimwa kwa mkono chuma?
 

Nadhani kuna zaidi kwenye alichosema Polepole:

Chui aliyejeruhi watu wanne Mwanza auwawa kwa risasi. Hili ni tukio la kutengeneza?

Wazi wazi.
 
Pale Rais alikuwa anacheki kiwanda. Ziara imeonyeshwa mwanzo mwisho.
Nothing suspicious. Ameshika zile ngozi,unless labda utasema una mashaka na zile ngozi.
Ile ziara ya kuwatembelea Polisi,Ile ilikuwa interesting. Kwa sababu alisema nitarudi kesho kutwa kuwakamata maafisa wezi.
No doubt iliwakasirisha wale maofisa.
Lakini it does not give them the right to eliminate the president.
But then,there is no proof that anyone did anything to harm the president. It seems that he fell down all by his self.
Ukilichukulia ki Chama; mwanachama wa CCM haruhusiwi kumuua Mwenyekiti wa CCM.
 

Hebu linganisha:

Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!

Kisha tafakari .. !

Au hata kutafakari nayo hairuhusiwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…