Polepole: Sina muda wa kukaa kwenye mdahalo na Bulembo, ni muhuni na tapeli aliyedhohofisha jumuia ya wazazi.

Polepole: Sina muda wa kukaa kwenye mdahalo na Bulembo, ni muhuni na tapeli aliyedhohofisha jumuia ya wazazi.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
"Sina muda wa kukaa kwenye Mdahalo na yeye (Bulembo), simuwezi, historia yake inajulikana si tu ni Mhuni bali tapeli. Kubwa alilofanya ni kutudhoofishia Taasisi ile (Jumuiya ya Wazazi ya @ccm_tanzania ) " @hpolepole https://t.co/y8F1t3J0Y9
IMG_20211217_180138.jpg
 
Back
Top Bottom