Polepole: Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abdul ndiye anayehusika

Huyu mpuuzi ameshanganyikiwa maskini.....
Hivi mliwahi kusikia Lissu anaongea ujinga kama huu, au kwa vile nyie ni nyumbu mnafata tu.....
Lissu si mlisema ameropoka na yuko mumemuweka ndani kwa uhaini? Au wewe unakaa jupita hujui yanayoendelea nchini?
 
Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya kuchapisha tisheti.

Shughuli za kamapeni zinazoendelea CCM zinasimamiwa na familia na mtoto wa rais

Na wewe Polepole na MangeKimambi mnatumwa na nani kumsema Samia? Tunajuwa mnalipwa na Januari Makamba.

Ila imekula kwenu bigtime. Baada ya tarehe 29/ Oktoba, mtakuwa IRRELEVANT
 
Another code revealed!
 
Kwa sasa Hana jipya Tena, labda aongee mambo ya Maana, kwisha habari yake, tumeshamtumia, na sasa anaweza kuwekwa kwenye Trash huyu kijana wa kipindi cha Sukuma gang!
 
Kweli sikio la kufa halisikii dawa...endelea kushupaza shingo,
 
Timu za watu wanaotukana mtandaoni na kuchapisha matisheti mtoto wa Rais Samia bwana Abduli ndiye anayehusika na mtu atakayebisha nitawatajia kwa majina, ofisi walipo, vilipo viwanda vya kuchapisha tisheti.

Shughuli za kamapeni zinazoendelea CCM zinasimamiwa na familia na mtoto wa rais

Kila tenda yumo, kweli nchi hii imevamiwa
 
Huyu mpuuzi ameshanganyikiwa maskini.....
Hivi mliwahi kusikia Lissu anaongea ujinga kama huu, au kwa vile nyie ni nyumbu mnafata tu.....
Unamlinganisha polepole na lisu??
Utakuwa na matatizo ya kuvimbiwa na fedha za Abdul wewe.??
 
Na wewe Polepole na MangeKimambi mnatumwa na nani kumsema Samia? Tunajuwa mnalipwa na Januari Makamba.

Ila imekula kwenu bigtime. Baada ya tarehe 29/ Oktoba, mtakuwa IRRELEVANT
Wimbo umebadirika sasa hivi hamsemi tena "hiyo mbona kila mtu anaifahamu hata kabla Polepole hajaisema" na hii: "wakati wa Magufuli mbona hujuyasema yote hayo"

Wicknell Chivayo​

Back
Top Bottom